Ndoa ya mbali yavunjika



Napata tabu sn kukuelewa!
 

Atakuwa alitandikwa katerero huko Bukoba huyo Chezea Abaijuku
 

Sasa uliona mkeo hapatikana then ukeep silent iweje yaani
Hueleweki hapo
 

Sasa hebu fikiria, mkeo na mtoto wako then ukae miaka mitatu hujui wanakula nini wanavaa nini wanaishi wapi?? Wewe ni mwanaume kweli, alikuwa anampenda mkewe na mwanae?

Yaani mwanaume wa ukweli baada ya kuona mwezi mmoja tu mkewe hapatikani angefunga safari kwenda kumtafuta physically tena kama ni mimi wiki moja tu hahahaaaa!!

Yule ni mke si kimada au hawara bana, huyo jamaa yako kayataka mwenyewe!!

Mpe hongera huyo mwanamke kwa maamuzi sahihi maana jamaa yako hakustahili kuwa mume bado, ndo hayo mkioa wanawake wenye vichwa vinavyofanya kazi vyema mnaishia kulia lia tu!! Upuuzi mtupu
 
Wacha anyang'anywe mke! Huyo mume ni mzembe. Utamuwekaje mke wako mbali hivyo kwa kipindi kirefu kama icho? Si kama anampenda ange fait ili akae karibu naye ikiwa ni pamoja na kumuachisha kazi awe mama wa nyumbani...
 
Hakupenda huyo mwanamke aiseee afu kwani hawakuwa na mawasiliano???? aache uboya me kaniuzi kinoma huyo mwanamke
 
Huyo dada ana nyota ya nyuki...
 

Dada pls may I know you?
 

Hujaiweka vizuri hii story yako. Haiwezekani mawasiliano yakatike ghafla tu baada ya kujifungua then Mume asijue atampataje mkewe. Kwani alikuwa hajui namba za simu ya ofisi ya mkewe. Hajui hata rafiki yake mmoja wanayefanya naye kazi?

Obvious kama ana mtoto mchanga atakuwa na housegirl naye alikuwa haujui simu ya house girl?!! Kama ni hivyo basi hiyo ndoa ilishajifia siki nyingi kabla
 
Lara1 you always inspire me by speaking not only the truth but the reality. Tatizo watu wamezoea kudanganywa na kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa, kiukweli taasisi ya ndoa ni uongo na unafiki tu. Majuzi kuna rafiki yangu alipekua cm ya mumewe sms alizokuta na picha za WhatsApp alitaka kuzimia, baada ya siku2 kumuuliza mumewe bahati nzuri akawa muungwana alimjibu tu kwamba "mke wangu usiangalie hizi sms za kwenye cm angalia mimi na wewe tunaishije utapata presha bure ufe waingie wengine wakati nyumba tumejenga wote kwa tabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…