Imani yangu inaruhusu kuoa wanne but mimi sipendi hiloJapo cjui wewe imani yako inaruhusu kuoa wake wangapi,lakini kwa imani ya kikristo ni dhambi kuoa zaidi ya mke mmoja na Yesu alisema sikuja kuleta amani,bali uadui kati ya ndugu na ndugu,mtoto na wazazi,n.k.Kwa maana kwamba usitafute kuwafurahisha ndugu zako kuliko Mungu wako na usimheshimu mwanadamu yeyote kuliko Mungu wako.
Unaambiwa hadi mzee kamchimba mkwara.Masister nahisi ndio washawishi kwa hili
Okey,kama ndivyo,fanya maamuzi kwa utashi wako binafsi maana wewe ndo utakayeishi na hao wanawake na sio ndugu zako.Imani yangu inaruhusu kuoa wanne but mimi sipendi hilo
radhi kwa mke wangu ambae nilshazaa nae na alikuwa anajua,je angekuwa ni binti yake anatendwa hivyo angekubali.tusiwatendee watu mambo ambayo tukitendewa sisi yatatuumiza pia.But radhi zake pia ni za muhimu
WanaJF,
Nimetulia na kuamua kuleta kwenu uzi huu ili mnisaidie ushauri!Miaka ya 2002 nilikuwa na uhusiano na binti mmoja ila bahati mbaya tulipoteana kipindi kirefu sana takribanii miaka 10.
Mwaka 2012 nikapata mchumba nikaamua kuoa na tumejaliwa kupata mtoto, sasa ghafla mwaka huo baada ya kuoa tu yule tuliepoteana akaibuka, kwa kuwa sikuwa nimeachana nae kwa shari tulianza mawasiliano ya kawaida pia nikidhani alishaolewa.
Siku nilipokutana nae nikampeleka nyumbani kwetu kumuonyesha tu kwa ndugu kwasababu walikuwa wanajua kuhusu kupoteana kwetu.Sasa baada ya kuonana na dada yangu wamekuwa marafiki kiasi cha uhusiano wake na mke niliye nae umekuwa mbaya sana.
Na mbaya zaidi amemshawishi mpaka mzazi wangu ananilazimisha nioe mke wa pili mpaka imefikia hatua baba yangu tuliyependana sana sasa ananichukia mpaka anasema 'nikiondoka duniani hujamuoa huyu binti siko radhi nawe 'hili linanivuruga akili yangu.
Imefika hatua hata mke wangu hatakiwi na ndugu zangu ila mimi tu ndiye najua umuhimu wake! Naombeni msaada ili nipate uhusiano mzuri na mzazi bila kuathiri ndoa yangu. Kisa ni kuwa mke niliye nae ni masikini na huyo Mwarabu ni mtu mwenye maisha flani hivi.
Mpaka sasa naandika nimefikiria sana mpaka brain imestack
Msaada please nini nifanye na amani iwepo pande zote?
With regard
Nahisi hukunielewa vzr,nilimpeleka kwa sister coz they know about him but not for marriage!it was jast a friend kwa kuwa hakukuwa na reason behind.Uliyataka mwenyewe;
ni nani asiyependa pesa, wazazi wako wameshalainika.
Mnataka mkemfanye mswahili mwenzetu house girl wa mwarabu;
sawa, uamuzi ni wako bhana.
Mkuu hapo sio sheria hapo diplomasia ndo inatakiwa....Nitakupatia ushauri wa kisheria endapo utani-PM kwa kuniambia aina ya ndoa mliyofunga na mkeo