Ndoa ya kiserikali

kipara feki

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
232
Reaction score
211
Wana JF nataka kufunga ndoa ya kiserikali, je kuna utaratibu upi wa kufuata, ofisi gani zinahusika na ufungishaji ndoa na gharama za cheti ni kiasi gani na kuna gharama zingine za lazima, nipo mbeya mjini.

Ahsanteni
 
Nenda kwenye ofisi ya Clerk of Court, waambie unataka kuchukua marriage license (utalipia ada ndogo), wakishakupa kazi inayobaki ni wewe kutafuta justice of the peace, kitu na boksi:biggrin1:.

Ila usisahau kwenda na mashahidi wawili siku ya kulishana yamini. Sawa?
 
Kwann usifanye kufunga ktk iman yako ndo ingekuwa njema zaidi
 
kipara feki ukifanikiwa just inform me nn na nn nifanye maana hata mm na DEMBA tupo njiani kulishana yamini mbele ya Hakimu!
 
Last edited by a moderator:
Kaka iyo ndoa ya serikali stil unabarik uzinz tu apo cha msingi mke uliempata ni kibaki mbele za mungu nenda kwa watumishi wa dini yako uhalalishe ndoa.
 
Kaka iyo ndoa ya serikali stil unabarik uzinz tu apo cha msingi mke uliempata ni kibaki mbele za mungu nenda kwa watumishi wa dini yako uhalalishe ndoa.

Kama wanasali dini tofauti?
 
Kaka iyo ndoa ya serikali stil unabarik uzinz tu apo cha msingi mke uliempata ni kibaki mbele za mungu nenda kwa watumishi wa dini yako uhalalishe ndoa.

acha hzo ww mbona hata waliofunga za kanisan wanaongoza kwa uzinzi? Wanafumaniwa kila iitwayo leo
 
Wana jf nataka kufunga ndoa ya kiserikali, je kuna utaratibu upi wa kufuata, ofisi gani zinahusika na ufungishaji ndoa na gharama za cheti ni kiasi gani na kuna gharama zingine za lazima, nipo mbeya mjini. Ahsanteni

ukifanikisha uje unipe namm maelekezo namna ya kufanya. Kwasababu ndoa za siku hizi ukienda kanisani kula viapo ni kujiongezea dhambi nyingne. Unakula kiapo cha ndoa na mwenzio huku mawazo yapo kwa mwanamke/mwanaume mwingne, baada ya wiki mke/mme wa mtu kafumaniwa sasa yann kufuru mbele za Mungu
 

Anzia kwa mkuu wa wilaya wewe na mpenzio mambo ni simpo sana ..watabandika tangazo la ndoa yako I think ni 3 weeks .malipo ni kidogo
 
Wana jf nataka kufunga ndoa ya kiserikali, je kuna utaratibu upi wa kufuata, ofisi gani zinahusika na ufungishaji ndoa na gharama za cheti ni kiasi gani na kuna gharama zingine za lazima, nipo mbeya mjini. Ahsanteni

Nenda ofisi ya mkuu wa wilaya ilio karibu nawe watakupa maelezo yote kuna pesa utatoa ila ni kidogo.chukua mzigo mkuu!
 
Kaka iyo ndoa ya serikali stil unabarik uzinz tu apo cha msingi mke uliempata ni kibaki mbele za mungu nenda kwa watumishi wa dini yako uhalalishe ndoa.

kwani mamlaka ya kidunia hayakubaliki mbinguni? Hivi hizo ndoa za kiimani huwa hazithibitishwi na tasisi za serikali?
 
Anzia kwa mkuu wa wilaya wewe na mpenzio mambo ni simpo sana ..watabandika tangazo la ndoa yako I think ni 3 weeks .malipo ni kidogo

ok! itabid nifanye haraka........ Kwasababu hiz za kanisani tunamkufuru Mungu bure. Kufumaniwa kumezid sijui umepona mwenzetu
 
kwani mamlaka ya kidunia hayakubaliki mbinguni? Hivi hizo ndoa za kiimani huwa hazithibitishwi na tasisi za serikali?

mkumbushe kile kifungu kisemacho" yaliyofungwa dunian hata mbinguni yamefungwa na yaliyofunguliwa dunian hata mbinguni yamefunguliwa"
 
Nenda kwa afisa tawala wilaya utapewa maelelezo yote. Cheti ni elfu20 kwa kopi moja. Ukienda church au bomani cheti ni hicho hicho
 
yani wewe mwalimu umeripoti tu unataka ufunge ndoa feki ili utuibie serikali.

Serikali sasa inahusika na vyeti vya kanisa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…