Nauliza hivi, eti ndoa ya kiserikali ina sharti lolote kama muoaji ana mke mwingine hata kama huyo mke yuko kivyakevyake tu? Maana mi najua serikali haina dini.
Dini ni tofauti. Lakini hil la dini halinisumbui tayari tuna watoto wawili na tunaishi pamoja kama mke na mume, nataka iwe rasmi zaidi wanangu wasikose haki zao.