Ndoa ya Kimila

Grand Canyon

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
547
Reaction score
1,193
Wakuu naomba msaada wa maswali haya:
  • Ndoa ya kimila ipi?
  • Vigezo na masharti yake ni yapi?
  • Anayefungisha ndoa hii ni nani?
  • Wanandoa wa makabila tofauti wanafuata mila za nani?
  • Je ndoa ya kimila ina nyaraka (documents)?
  • Je ndoa hii ni halali 100% kama ya kufungia kwenye dini au kwa mkuu wa wilaya?
Natanguliza shukrani.

Wawili wanakubaliana kuoana,,, Kisha wanapeleka kwenye familia Kila upande unaridhia?? Ikitokea kila upande ukiridhia wanafanya Mila kwa mujibu WA kila upande then wanatoa BARAKA,,,, Mahali zinalipwa biashara inakwisha
 
Ahsante. Je kuna nyaraka za kuthibitisha ndoa hii ya kimila?
 
Ndoa za kimila zipo na very strong kwa makabila ambayo tamaduni bado zinazingatiwa..Kuoa kimila ni ngumu sana wanandoa kuachana kizembe kwa sababu ya masharti magumu ya ndoa hizi....
 
Hayo masharti yanakuwa na maandishi?
 
Ndoa zote especially za kikristo zinaanza na mila then dini au kiserikali inafuata baadaye.
Unapoenda kulipa mahari ile ndo mila yenyewe maana huwezi kwenda kufunga ndoa kanisani huku hujalipa mahari.

Ndiyo maana wengine wakishalipa mahari biashara inaishia pale namaisha yanaendelea.
Sijajua kwa waislamu hatua yakwanza unapotaka kuoa unaanzia wapi,kama unaanzia kwa wazazi hizo ni taratibu za kimila then dini inafuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…