Mathias Kisokota (94) na Uria Mwimanzi (80)
Wazee hao ambao wamefunga pingu za maisha kwa kuamua kuwa mwili mmoja kama maandiko ya vitabu vya dini yanavyoeleza, wana watoto wapatao 10 na wajukuu zaidi ya 50 ambapo walianza kuishi pamoja miaka 35 iliyopita baada ya kufariki mke wa kwanza aitwaye Agnes Kasinsila. Hata hivyo baada ya mzee Kasokota ambaye ni Mkatoliki kuanza maisha mapya Uria anayesali Kanisa la Moravian mpaka sasa, waliendelea kusali kama kawaida, lakini wakikosa baadhi ya huduma za kanisa.
Hongera.....nafikiri wanatafuta kuzikwa kwa heshima ya kanisa..
Kwa taratibu za kiserikali, hawa ni mume na mke toka miaka 35 iliyopita..
wana watoto 10...????
Inabidi nikajifunze tena nini maana ya ndoa?
DiscussKatika this confused world ya sasa... maana ya ndoa inabadilika kila siku... Sometimes in a bad way.. saddening..
Discuss
Kweli hapo nimekuelewa ashadii,.... maana siku hizi kuna ndoa hadi za mikataba, maana ya ndoa imebadilika sana, kila mtu anaichukulia kivyake tuDear Gaga maana imebadilikia in this sense...
Marriage zamani ilikua na maana a union between a man and a woman/a man and women
kiasi kwamb watoto woote wataozaliwa kati ya hao wahusika watatambulika katika jamii
kama watoto halali wa wanandoa hao. BAHATI MBAYA saana hii maana imebadilika saana
katika maeneo mbali mbali ya ulimwengu...
Sasa hivi kuna ndoa nyiiingi!!! Kuna ndoa za same sex marriage (gays and Lesbians..),
kuna ndoa za mkataba mpaka mwaweza kubaliana hamna kuzaa, kuna ndoa za
kupata tu Uraia, kuna ndoa kati ya wanawake na wanaume pia....
Tokana na changes hizo hapo juu kupelekea aina kibao za ndoa (naamini bado wanajaribu vumbua nyingine...)
Hapa dear tutasema kweli ndoa ni nini?? Kazi saana.. tunapofafanua NDOA, tutumie vigezo gani?? Vya DINI??
Vya ulimwengu?? Vya kimagharibi?? (maana hawa ndo wabaya.. because they run the
world basi kila lipitishwalo wanataka li apply koote.. i.e.. same sex marriage)
Kazi kweli... Hivyo narudi tena kumsupport kaka hapo juu... kuna umuhimu wa kuangalia upya maana ya ndoa.
Kweli hapo nimekuelewa ashadii,.... maana siku hizi kuna ndoa hadi za mikataba, maana ya ndoa imebadilika sana, kila mtu anaichukulia kivyake tu