NDOA ya jinsia moja Uganda

NDOA ya jinsia moja Uganda

Emma M.

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Posts
204
Reaction score
6
Bado sheria kuhusu ndoa ya jinsia moja inazua utata nchini Uganda.
Eti wapo watetezi wa ndoa hizi hawataki sheria kali.
Hapo hapo Ureno imepitisha sheria ya jinsia moja huko ulaya.
Sijui hili likoje kwa nchi nyingine za Afrika.
 
Back
Top Bottom