scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,736
Eeh we hupend matoluHao wote kwangu ni vimbwengo
Dunia nzima lazima ijueHarusi za binti wa rais kimya kimya..sijui hata lini ange kuachumbiwa
Ila harusi za wagogo na wasukuma sasa....
Nmekupenda bure au post imekugus moja kwa moja??Hoja yako hapa ni ipi Dada?
Hapana m wa wastani,yaan kwetu kuanzia babu zangu walikuwa twiga sasa babu yangu alioa bibi ambaye n mfupi tena ile dominant,sasa kuja kwa sie wajukuu tukaanza kupungua urefu(ikumbukwe baba na mama n warefu)sis watoto kimo kikaanza kupungua,ila mtu mrefu anavutia bhanaNaomba japo picha yako mwaya...! Inaonyesha utakuwa twiga kama mie ati.
Hapana m wa wastani,yaan kwetu kuanzia babu zangu walikuwa twiga sasa babu yangu alioa bibi ambaye n mfupi tena ile dominant,sasa kuja kwa sie wajukuu tukaanza kupungua urefu(ikumbukwe baba na mama n warefu)sis watoto kimo kikaanza kupungua,ila mtu mrefu anavutia bhana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aseeNdio maana ni vigumu kusikia mnyarwanda kaoa/kuolewa na mtanzania,nadhani issue hapa ni maswala ya kimo...
Sio kwa kunikomalia huo m n wawastan so mrefu so mfupiYeah, what you are saying is true my dear. Hata mwanamke akiwa na umbo flani refu hivi anavutia sana kwa kweli.
I wish japo nikuone mwaya. [emoji85]
Huyo kaka kwasababu pesa ipo tutamwita Super Tall...ila angekuwa mwenzangu na mimi kapuku apeche alolo,.tungemuita Ngongoti tuu na angeitika...
Hapana m wa wastani,yaan kwetu kuanzia babu zangu walikuwa twiga sasa babu yangu alioa bibi ambaye n mfupi tena ile dominant,sasa kuja kwa sie wajukuu tukaanza kupungua urefu(ikumbukwe baba na mama n warefu)sis watoto kimo kikaanza kupungua,ila mtu mrefu anavutia bhana
Sio kwa kunikomalia huo m n wawastan so mrefu so mfupi