Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,959
Alikamwe amekaa kushabikia timu yake huku akisahau wajibu wake kwa mkewe bwana alikamwe anadai kuwa mkewe alimcheat
Ndoa sio kitu cha kukimbilia hovyohovyo ndoa hata miezi 3 haijaisha
Au mwanetu hapigi vizuri maana ad mke kaamua kumcheat maana ake alikamwe hajui kuipiga vizuvizuri nini?
Najua alikamwe umo humo bro hudhuria vikao vya wanaume wenzako.