Ndoa, umaarufu na pesa

Ndoa, umaarufu na pesa

vdn

Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
8
Reaction score
0
Members mimi huwa najiuliza kwanini wanawake waliofanikiwa kimaisha kwamaana wana pesa za kuendesha maisha yao, wanawake maarufu(aidha kisiasa,kimitindo au kisanaaa) huwa idadi kubwa hawaolewi? Tusaidiane mawazo maana wote tunaishi katika jamii na pasina shaka tunalishuhudia swala hili! Mawazo yenu please!!!
 
Labda wengi hupenda kuwa huru, ila pia wanawake wanao fanya siasa ni wabaya kuliko hata hao wanao fanya sanaa, chukulia mfano wana pataje viti maalumu!! Huwa tunayasikia sanaa! japo wenzetu nchi za nje mwanamke asiye heshimu masuala ya mahusiano hawezi fika mbali kisiasa

Wasanii hawaoleki kwa sababu hata mapenzi yao ni ya kisanii hvio hivo.
*pia watu wenye maisha ya kuhama hama , kusafiri sana sio wanawake wa kuoa kwa hilo nina ushahidi kabisa na wasanii, wama siasa na wana mitindo wana ingia hapo.
 
Back
Top Bottom