Ndoa tamu jamani

Hongera sana hz huby zitaendelea tu na ww ukiwa unazihitaj namaanisha ukidumisha upendo uvumilivu na kusamehe ndo njia pekee ya kufika
 
Kuna mwenzake kaanIsha thread kule mke anamwambia kuwa jamaa ni sticky hanenepi
 
Mkuu mdukuzi sikatai hayo yote, ila sasa wanaume tufanyaje...tusioe kwa ajili ya hizo changamoto? Nafikiri saa nyingine tufirie mambo mazuri pia. Hizo mimi nimejiwekea kuwa ni changamoto tu kama za hapa kazini....tena za kazini kwangu zinazidi, maana kufanya kazi na waindi ni sheedah aisee.
 
Last edited by a moderator:
Sio mpaka ya kuhangaikia uwiiiiiii ni raha tu,,,uanze kutuma mpesa ili aje mnakaa siku mbili kila mtu kivyake khaa ya nini hayo weka kitu ndan ni kujipimia tuuu heloooo

Siku izi hata kamwili kameanza kuja..maana siku nyingine nilikua silali kwa ajili ya papuchi....mtu anakuambia anakuja unajiandaa mara anakutumia sms eti amepata dharura alafu ni saa tano usiku hiyo..yaani usingizi hauji kabisaa.
 
Hhhhaaaaaaaa
 
Hongera, ila hakuna tamu lililokosa chungu. Sikuombei ila maisha ndivyo yalivyo. Nakuombea heri.
 
Last edited by a moderator:
Mazoea, kuboreka, ushindani, uvivu , wivu uliopitiliza , kiburi n.k
Hakikisha mnavirekebisha haraka sana benteke
 
Last edited by a moderator:
Hakuna raha kama kulala kila siku usiku na mume,yaan kugeuzwa fasta halaf vitu vya motoo miili inachemka duuu, siri yangu benteke hongera
Ni raha ila kipindi cha mvurugano huwa hivi.......
 
Attachments

  • IMG-20150123-WA0073.jpg
    46.7 KB · Views: 119
Last edited by a moderator:
Ni takriban miaka 4 sasa mkuu benteke

Sidhani kama kuna muda mzuri wa kuleta mrejesho kama sasa
 
Kabla ya huyu uliyevutia ndani uliwahi kufuga tu wangapi mkuu?? Naona uzi ni wa kitambo kidogo, Je huna mrejesho au ushamrudishia babake amfunze ilim kidogo?? Si ajabu hana meno ya sebuleni kwa sasa
 
haaaaaaa eti Papuchi dah wabongo mmenishinda
 
Kabla ya huyu uliyevutia ndani uliwahi kufuga tu wangapi mkuu?? Naona uzi ni wa kitambo kidogo, Je huna mrejesho au ushamrudishia babake amfunze ilim kidogo?? Si ajabu hana meno ya sebuleni kwa sasa
Mkuu kabla ya hapo nilishafuga mmoja...ila huyu kwa kweli nashukuru Mungu. Labda mimi tu ndio nampa changamoto za hapa na pale.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…