Ndoa si ndoana ni kujaliana!

Salaam, ni ushauri mzuri Lizzy, however;
Katika uhalisia, nakubaliana na tuko katika mantiki ya ubinafsi usioadhiri set husika. Ubinafsi wa kuwa na wanawake au wanaume nje ya ndoa huo ni ubinafsi wa hali ya juu kabisa. ubinafsi wa kutaka kufanya maamuzi yanayo-affect set nzima bila subset nyingine kuhusika, hapo ni makosa makubwa.
Kuna mambo madogo sana ambayo si muhimu kwenye ndoa lakini yanalazimishwa kuingia kwenye set......kunyang'anya uhuru kwa degree zote wa mwenza wako.....

Haiwezi kutokea, just because mumeamua kuoana, basi muwe 100% compatible, Haiwezekani......sasa hapa ndo linakuja swala la COMPROMISE.....unataka sasa hivi, mimi sitaki sasa hivi.......tungojeane, au tutuvumiliane.

kila mtu lazima ana mambo bvinafsi amabayo angependa kufanya bila kuingiliwa, lakini hayaharibu SET (yale ya msingi katika ndoa)Kinachotakiwa ni mwenza kuyafahamu, asipoyafahamu utakuwa unakuwa mbinafsi, however, kama hujajua mambo binafsi ya mwenza wako katika kipindi cha microphone test one tw one two....basi hilo nalo ni tatizo.

Swala la simu naomba nisilisemee, coz ni janga la kitaifa sawa na kuwasikiliza mashoga/mashostito au wambea wa mtaani na kuamini kila neno.

Hapo kwenye red,Hayo ni miongoni mwa mambo yanayosababisha katika ndoa kuwe kuna usiri mkubwa kiasi cha ku-conclude kwamba these two people are in two differnt missions.
 
Salaam, ni ushauri mzuri Lizzy, however;
Katika uhalisia, nakubaliana na tuko katika mantiki ya ubinafsi usioadhiri set husika. Ubinafsi wa kuwa na wanawake au wanaume nje ya ndoa huo ni ubinafsi wa hali ya juu kabisa. ubinafsi wa kutaka kufanya maamuzi yanayo-affect set nzima bila subset nyingine kuhusika, hapo ni makosa makubwa.
Kuna mambo madogo sana ambayo si muhimu kwenye ndoa lakini yanalazimishwa kuingia kwenye set......kunyang'anya uhuru kwa degree zote wa mwenza wako.....

Haiwezi kutokea, just because mumeamua kuoana, basi muwe 100% compatible, Haiwezekani......sasa hapa ndo linakuja swala la COMPROMISE.....unataka sasa hivi, mimi sitaki sasa hivi.......tungojeane, au tutuvumiliane.

kila mtu lazima ana mambo bvinafsi amabayo angependa kufanya bila kuingiliwa, lakini hayaharibu SET (yale ya msingi katika ndoa)Kinachotakiwa ni mwenza kuyafahamu, asipoyafahamu utakuwa unakuwa mbinafsi, however, kama hujajua mambo binafsi ya mwenza wako katika kipindi cha microphone test one tw one two....basi hilo nalo ni tatizo.

Swala la simu naomba nisilisemee, coz ni janga la kitaifa sawa na kuwasikiliza mashoga/mashostito au wambea wa mtaani na kuamini kila neno.

Remove Your Thanks
The Following User Says Thank You to Bigirita For This Useful Post:

Lizzy (Today)​

Asante Bigi kwa kutugawia kiasi cha busara zako!!!
Kila ulichosema ndicho kilichokua mawazoni mwangu....kama swala la kutoka nje linamfaidhisha mmoja ila vile vile linamuathiri mwenzake kwa hiyo ni kitu ambacho tunatakiwa tukikwepe kwa sababu sio haki kwa aliyeko upande wa pili.

Kwenye ambayo yanakua hayana madhara upande wa pili moja wapo ni kujumuika na marafiki mara moja moja kama yanayofanyika huko hayavuki mipaka sioni tatizo!Ndio maana nikasema hamuwezi hata kwa mwezi mmoja tu kufuatana 24/7.....uhuru upo sana tu....tatizo ni watu wanapoutumia vibaya na kuzusha maswali wasiyoyataka ndo utasikia ohh nahitaji space!!

Kuhusu kua compatible hapo COMPROMISE inahusu sana....sio kila anachopenda mwenzako na wewe utapenda au atakachotaka at the time na wewe utataka!!Swala ni kua tayari kusema well we unataka kuangalia mpira na mimi tamthilia ngoja nikuachie ungalie mpira mi ntasubiria marudio.....mi nataka sijui tufanye nini au tuende wapi sasa hivi ila we umechoka kwahiyo najitolea kuahirisha!!Tatizo wengie wetu hatupo tayari kabisa kujitolea....matokeo yake utasikia ohhh kama hutaki kwenda naenda mwenye!Mtu akirudi huko ananuna mpaka kulala bado mnanuniana!!!
 
Lizzy nakushukuru kwa shule uliyotoa lakini i beg to differ.Hapa nazungumzia simu,simu, simu, simu jamani,wenye ndoa chonde chonde acheni kuchungulia simu za mawaif na mahazbandi wenu. Zama hizi hakuna sumu mbaya ya mapenzi kama simu,wahenga walisema usichokijua ni usiku wa giza na nyuki ukimfuatilia sana wallah asali hutoonja kamwe. Simu jamani simu zinaua ndoa tena mara nyingi simu/sms zinazosababisha huaribifu basically huwa ni harmless lakini mpenzi mmoja anatahuruki na ku panic basi inakuwa tabu tupu.Ushauri wa bure :'in love share everything isipokuwa simu na bank account'!
 
Nakubaliana na wewe bishanga ila huo ndio ubinafsi ambao lizzy anausema tuuache wanandoa. jamani simu hizi!!!!! msinikumbushe mbali :A S 20:

Back
Top Bottom