Ndoa si kitu cha mchezo mchezo

Hao wa ughaibuni ndo zao. Wanatafutaga yeyote alie tayari wanaoa. Nina rafiki nae yuko Marekani alipatiwa mchumba na rafiki etu yuko huko pia. Ila ninavyoona hata wakioana ndoa haitadumu maana huyo shoga etu ana tabia nyeusi
Kwakweli..rafiki angu vilimshinda mapema yeye alikua anataka waarabu wenzie mahandsome...ila kutafutiana sio poa jamani
 
Du ni sawa ila hujatoa ushauri kipi cha kuzingatia ili watu waoane, asilimia 99 ya ndoa nyingi imetokana na hayo uliyoyataja
 
nimesoma uzi wako mpaka sivielewi.we waache waowane tu.majirani tupo
 
Umesema vizuri dada Mzigua90
 
Nikipata tangazo la mtu anayetafuta mke nitakuwa nakutumia pm[emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Utakua umefanya jambo la heri sana
 
Ukimshirikisha Mungu utapata mwenzi wako aliyetoka katika kiti chake cha enzi . Shida watu wanakimbilia uzuri , hela , elimu na mambo mengine ambayo yanapita tuuu. Ni muhimu sana kumuomba Mungu akupe chagua sahihi na mywenye hofu yake.
 
Umeandika point sana, nenda kwenye duka lililo karibu na kwenu kachukue Mirinda green apple 3, kesho asubuhi nitapitia hapo shop kulipia,
 
Umeandika point sana, nenda kwenye duka lililo karibu na kwenu kachukue Mirinda green apple 3, kesho asubuhi nitapitia hapo shop kulipia,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…