Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,249
- 93,771
Upo nyau upendoAisee, hatari kabisa.
Afadhari muunganiko wa BOGA na tikiti Maji...Sasa unakuta miunganiko mingine [emoji114][emoji114][emoji114], i.e Kiwanda cha kufua umeme vs Kiwanda cha tumbaku.
Nipo nyau bangiUpo nyau upendo
Acha uchoyo, na sie tupe mbinu.Sometimes yes ,sometimes no...kweli maisha its like a Coin !!! Inakichwa na mwenge!!
Aya hongera kwa uzi !!! Mchungaji wangu ,Baba yangu wote kila siku wananisisitiza Ndoa nitamuuuuuuu!! ...........
Ikiwa wanaume watawapenda wanawake zao km vile wanavyowapenda Mama zao , then Wanawake pia watawaheshimu waume zao nakuwajali kama vile wanavyojali vichanga / watoto wao.
Ndoa Nzuri haitokei kwa miujiza bali ni ni MATOKEO YA MAAMUZI YA KUPANGA.
Mume na mke wakiamua kupanga kua na ndoa nzuri basi watakuwa nayo, nakwakua nikua na mtu unayempa 100% ya maisha yako BUSARA NA HEKIMA ndio msingi pekee wa ndoa.
Mimi naamin 100% nitakua na ndoa yenye Amani na furaha, na upendo ,na kila aina ya uzuri,,, kwanini????? ...kwasababu naijua mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee, hatari kabisa.
Afadhari muunganiko wa BOGA na tikiti Maji...Sasa unakuta miunganiko mingine [emoji114][emoji114][emoji114], i.e Kiwanda cha kufua umeme vs Kiwanda cha tumbaku.
Hata mimi najua wavuta bangi wenye familia na ndoa zao ziko poa sana tu. Kuna mmoja mkewe alikua anamsaidia kabisa kurollKuna mzee kwenye ndoa ana zaidi ya miaka 35 na ni mvuta bangi mzuri sana na sijawai kusikia akijwaruzana na mtoto au mke wake. Ni moja kati ya familia waadilifu sana mtaani.
Naaaaaaaaaakila mtu atauuuchukuuuuuuuuuaaaaaaa mzigo wakeeeeee mwenyeweeeee!!Acha uchoyo, na sie tupe mbinu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ndiyo umeamua kuandika unitishe ama?? Jua na mimi siyo wa mchezomchezo nakuoa tuu ila uache tamaa pia maisha magumu pia ni changamoto tuvumiliane wenda zikaisha au zisiishe bila shaka imekuingia.Ni taasisi muhimu sana katika jamii sababu inatengeneza familia ambayo baadae inakuwa jamii na mwisho Taifa.
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuingia au kuunda taasisi hii bila kufikiri kwa kina na kufanya maamuzi kwa umakini.
Ndoa ni forever commitment na sio temporary ktk maisha.
Ndoa sio kwa boys and girls ni kwa men and women.
Bad marriages can cause couples to die.
Tunapaswa kufahamu kuwa it is the most critical choice of your life and once you marry a deficit you are finished.
Ndoa kwa wanaoamini it's something created by God for that case instruction of who to marry must come from him.
Ipo misingi au kanuni za kufuata ili maisha ya ndoa yawe kama ilivyokusudiwa.
Lakini pia ibilisi asingependa kuona watu wanapata correct match. Na iwapo wata match atahakikisha angalau mmoja anatoka nje ya ndoa!
Lkn pia yapo mambo ambayo ni miongo mwa sababu za kipumbavu kabisa au kwa kutokujua unakuta kupitia sababu hizo mtu anaolewa au anaoa! Na mwisho wa siku mambo hayaendi kama ulivyotarajia.
Sababu zenyewe ni hizi:
1. Regular sex- vijana wanawaza kupiga mabao tuu! Kwamba nikiolewa/kuoa nitafanya sana na kama huyo partner hana hiyo staminar shida inaanza!
2. Kupenda kwa ghafla unapomuona mtu( sudden love) yaani unafuata hisia za mwili i.e chemical reaction.
3. Fear of remaining unmarried. Hapa unajikuta Tembo anaoa spider, you get somebody who is totally wrong.
4. Kupenda tuu kwa kuwaona waliooa na kuolewa( liking the idea of marriage). Huwezi kupenda jeshi kwa kuangalia sare. Ukifika vitani utaweza kukimbia.
5.Pressure( shinikizo)kutoka kwa marafiki na familia, ooh umri unaenda oa/ mbona kimya! Hapa lzm ufanye uamuzi kwa kupanic. Na nilazima utapata mume aliyepanic.
6. Kuolewa/ kuoa ili kukimbia kazi na majukumu ya nyumbani. So you use marriage as escapping route.
7. Pesa( money) ukiona mtu anapesa anakazi nzuri unaangalia ile pesa unasahau kuwa money can only buy a bed but not sleep.
8. Kuona huruma ( feeling sorry) yaani unakutana na mwanaume/ mwanamke ana shida anaelezea hadi machozi unafikiri kuoa.[emoji853]
9. Foolish expectations! Unajua kabisa huyu ni mvuta bangi unajipa moyo eti atabadilika tukioana! Forget my friend.
10. Beauty. Hapa ndio watu wanaipata sn! Make up za mark zinawamaliza vijana. Na kuangalia mishepu, huwezi nunua nyumba sababu ya rangi nzuri wakati haipo imara.[emoji38]
11.Mimba isiyotarajiwa (Accidental pregnancy) unapoona umepata mimba au umempa msichana mimba unaona huna jinsi! Mahusiano haya hayadumu.
12. Kumzoea mtu. Unaona umesoma nae/ kufanya nae kazi muda tu unahisi umeshamjua.
13.Udalali(double connections) unaoa au kuolewa sababu umeunganishiwa na mtu, au ni mtuwa kijijini kwenu au kabila moja.
14. Kuwafurahisha wazazi. Sababu baba/mama anampenda msichana au mvulana.
15. Umaarufu. Umesikia flani katoa wimbo au amepata umaarufu tu unaona atakutoa au wengi watakujua.
Hizi ni baadhi tuu ya sababu zinazofanya mtu aingie kwenye wrong match na ndio shetani anapenda ili tuu aiharibu dunia yote!
Ndugu maafisa you cant put an elephant and a spider in one bed!
Lkn vijana wengi siku hizi wana kazi ya ku construct na ku compare kuhakikisha wanapata waliojazia na wasichana wengi they make themselves so cheap badala ya ku take time for critical thinking. They don't have a very good reasons why they want to marry na hii inasumbua!
Wewe kijana iwapo ulioa kwa sababu mojawapo kati ya hiyo you are real in trouble. Na wewe kijana iwapo unataka kuoa au kuolewa usiwe na hizo sababu.
Kwa kumalizia, hili eneo lina gharimu uhai wa mtu. So we better take a serious note on that.
C&P
Duuuhhh bangi? Kweli umenichoka nyau.Nipo nyau bangi
Can you share experience yako mzee. Kun mambo ya kujifunza hapo?yalishanikuta,kuoa demu eti kisa mkali kumbe yeye na familia yake wote mafisi tu,thanks god am free now.
Ivi unann wee? .Sure tumtangulize Mungu katka kila jambo
Hayo ni nyongeza tu, ukiishi na mwanamke kwa sababu ya hivyo vitu. Una 95% hayo mahusiano hayatadumuMbona hujaweka ya kuangalia chura,msambwanda,mkia
Watu wanaoa kwa kuangalia hyo kitu tu
Nna njaa mkuuIvi unann wee? .
Sasa njaaa suala dogo km ilo? Basi niamuru nifanye nn ,kisha nitafanya.Nna njaa mkuu