naona baada ya The secretary kuiona hii pic from their files akaamua kutoa talaka kwa Bishanga.. utege ule haujanyoka mpaka leo.
walikuwa wametoka jei kei tii Elli
hahahhaaaaaaaa......hii ni ndoa ya kwanza ya sosolizo my dear! mie sipo hapo......
Sikua marafiki watatu saudari Safari_ni_Safari na sosoliso walipouaga ukapera!
Picha kwa hisani ya Boflo...............Enjoy!!!