Mwanamke anapata mimba mda wowote provided the right conditions ( maturity, egg, sperm, balanced hormones) utamlaumuje kwamba kaamua... Wewe si ungetumia condom au ufanye vasectomy basi kama unataka kujihakikishia hazai.
Mwili wa mwanamke huweza kupata mabadiliko ya vichocheo muda wowote kutokana na stress, mazingira na lishe hivyo unapolala na mwanamke hesabu mtoto maana anaweza kutokea hata nje ya hesabu ya siku za hatari zilizo-zoeleka.
Hapo anategemea kukufunga vizuri usichomoke kwenye commitmentKabla hatujatoka nje ya mada nachozungumzia ndoa ni utamaduni nadhani mpaka hapo tunaelewana!
Sheria zetu hasa ile ya ndoa ya 1977 nayo bado iliendelea kuegemea kwenye traditionl culture tuna vitu ambavyo hata kama tutaiga umagharibi hatuwezi vipindisha it's norms... mfano: mwanaume haolewi anaoa na ndio mtoa talaka. Hii ina maana gani? Yeye ndio kichwa cha ndoa. Ikitokea akawa Mario ni kosa la kimfumo kichwani mwake.
Kuhusu mimba sikatai ukipiga match tarajia lolote.. lakini hapa ni kwamba we had Let's say two years preventing that pregnancy through natural n artificial methods weka mbali hiyo ya ufungaji!
Then ukaamua tu kwamba nashika ujauzito bila kumshirikisha mwenzio unategemea nini kama sio kuunda mtafaruku?
Salam wakuu,
Leo nimemkumbuka mwalimu wangu wa somo la siasa enzi hizo kabla ya kubadilishwa na kuitwa uraia. Alikuwa ananiambia 'Doa' tamaduni mbili zikikutanishwa moja yenye nguvu huimeza iliyodhaifu.
Ili imezwe lazima mmoja aidharau yakwake na kuitukuza ya mwenzie akaniambia wazazi wako na babu zako walishikilia sana tamaduni zao, kuanzia lugha, mila na desturi lakini ninyi mmeanza kuruhusu kumezwa.
Hoja yangu ni ipi haswa.Kwa sasa ndoa zetu zipo mashakani kufikia umri wa ndoa za waliotutangulia hasa wazazi (wenye ndoa) waliishi kwa kuelewa ndoa ililindwa na utamaduni wao wakauenzi
Kwa sasa wanandoa wanaishi nyumba moja kama wako hostel tu na sio familia. Kisa wameruhusu umagharibi kuumeza utamaduni wao.
Mama anadai haki zote za ubaba, na kinyume chake. Hakuna kiwiliwli wote wamekuwa vichwa.
Tafakari.
Teh teh teh we are women baby, that's what we do. We love being needed, you can't leave a woman with three kids.That is booshitt yaani nimekuoa nimekusomesha nimekufanya uheshimike kwa kunizalia watoto Wawili leo huyu wa tatu uniambie unafanya hivyo ili uni pin kwenye commitment?
Lakini pia zamani, ndugu zako wa kijijini ulikuwa unawatumia pesa kwa TMO inachukua mwezi mzima. Siku hizi, kwa M Pesa ni sekund kadhaa tu. Zamani, Dar - Mwanza ulitumia reli ya kati kwa siku 3, siku hizi ni masaa 12 tu kwa basi uko Mwanza. Zamani hakukuwa na Whatsaap, radia ilikuwa moja, gazeti la chama na serikali. Siku hizi taarifa zote unazipaata papo kwa papo kupitia Whatsapp na mitandao mingine ya kijamii. Tena haijalishi, aliye Kasulu, Tandahimba, Mererani, Dar, Tanga, Nairobi, New York, Tokyo au Madrid, as long as wote mko group moja la mnapata taarifa kwa pamoja.
Kifupi ninachotaka kusema ni kwamba, zama zimebadilika sana. Angalia maisha ya zamani, ukitaka kumtongoza mwanamke, inabidi umvizie anaenda kisimani, au dukani. Lakini siku hizi watu wanatongozana hata kama hawajawahi kuonana, ni kwa sababu ya mawasiliano kuwa rahisi. Wanandoa zamani ilikuwa vigumu ku cheat kwa kuwa ni ngumu kupata mawasiliano na mke au mume wa mtu. Na ukienda naye guest kila mtu atajua kwa kuwa watu walikuwa wachache. Siku hizi hayo yote yamerahishwa.
Mi nashangaa upo serious kwangu kwani nilishikilia miguu wakati unategeshewa! ? Hi hi hi hi hiiAm serious sasa unacheka nini?
Na ndio maana ma Lesbian na mapunga wanaongezeka na Mataifa ya KI AFRICA yana lazimishwa kuhalalisha USENGE na kupunguzwa ukali wa maneno kwa kuita ndoa ya jinsia moja.Kwa taarifa, wazungu wanawamilikisha wabeijing uchumi ili wawatawle wanaume, malengo yao yatimie
Ndoa za ki Afrika....zimeharibiwa na tamaduni za kigeni.Tunaingia ndoani tukiwa hatujaiva vizuri...
Ndio tuache kuiga hizo tamaduni za kigeniNdoa za ki Afrika....zimeharibiwa na tamaduni za kigeni.
Kabisa Binamu, Vijana Ni tatizo sana kwenye ndoa Kwa sasa...!hawaamini kama mwaka umeisha ... ndiyo maana kila mwaka wanaadhimisha muda wowote kinaweza kunuka
ww mdada hua una akili wwTunaingia ndoani tukiwa hatujaiva vizuri...
kwanza hawajui maana a ndoaKabisa Binamu, Vijana Ni tatizo sana kwenye ndoa Kwa sasa...!
Mi nashangaa upo serious kwangu kwani nilishikilia miguu wakati unategeshewa! ? Hi hi hi hi hii
Wewe ulitaka kujua kipi, sababu ziko wazi... zimewekwa wazi, huna namna zaidi ya kukubaliana na mwenzi wako mnaishije katika utandawaziIngekuwa ni swala la mtu mmoja au mimi binafsi nisingejali ila swala hili ni la jamii nzima. Majibu yako yana wakilisha kundi kubwa la wanawake waliokumbatia utandawazia!