Kabisa kabisa....!Tena kwa mbwembwe na michango!!!!
kwani mlipokuwa mnalalana ulikuwa hujui ataconceive, upewe taarifa gani? ndo nyie mnaowatoa mimba wake zenu wa ndoa.Na mimba anapanga mke we utapewa taarifa tu... honey Nimekonsivu... unabaki ooh ok!
Na kipindi kile cha zamani mali zote zilikuwa chini ya baba, mashamba wakina mama wanaenda shamba kulima yakifikiwa kuvunwa mama hana chake ni ya baba kwa maana ingine uchumi ulikuwa ukimilikiwa kwa asilimia yote na wanaume na ukijumlisha na maadili ya enzi zile basi baba lazima awe kichwa cha familia tu...Sasa hivi hata sisi wanaume tunachangia kuporwa haki yetu ya kuwa kichwa cha nyumba..Mwanaume huna na hutaki kazi unalelewa tu na mwanamke uchumi wa familia anaushikilia mama wewe unabaki kumpeleka kazini then unazunguka tu na gari la wife mtaani hadi pesa ya nguo za ndani ni yeye anakupa...Hii tabia ya umarioo inatuaribia sifa zetu sana..Mwanaume umepaka rangi na umefuga kucha..Halafu uitwe kichwa cha familia...
Yote hayo ni kwa sababu ya kuupoteza utamaduni sasa kama kijana katahiriwa na mama yake kwa nini asiwe marioo? Huwezi kukuta mwanaume alie enda jando na kula kisu bila ganzi akawa mariooNa kipindi kile cha zamani mali zote zilikuwa chini ya baba, mashamba wakina mama wanaenda shamba kulima yakifikiwa kuvunwa mama hana chake ni ya baba kwa maana ingine uchumi ulikuwa ukimilikiwa kwa asilimia yote na wanaume na ukijumlisha na maadili ya enzi zile basi baba lazima awe kichwa cha familia tu...Sasa hivi hata sisi wanaume tunachangia kuporwa haki yetu ya kuwa kichwa cha nyumba..Mwanaume huna na hutaki kazi unalelewa tu na mwanamke uchumi wa familia anaushikilia mama wewe unabaki kumpeleka kazini then unazunguka tu na gari la wife mtaani hadi pesa ya nguo za ndani ni yeye anakupa...Hii tabia ya umarioo inatuaribia sifa zetu sana..Mwanaume umepaka rangi na umefuga kucha..Halafu uitwe kichwa cha familia...
Ulimwengu wa Kambare kila mtu ana masharubu,mi sishangai sana nnavyoona wanaume tunaoa sio kwa kupenda bali kwa kuridhishwa kwa muda mfupi na vijitabia vya mchumba ili umuoe,na wengi tunaona ufahari sana kutangaza ndoa maana sio mchezo hiyo attention yake ukweni we ndio unakuwa topic+na mchumba ndio kama mlenda na tonge kwa ufupi ndoa siku hizi ni kama hobi tu.Hazina muelekeo wa kimaisha.
Mwanamke anapata mimba mda wowote provided the right conditions ( maturity, egg, sperm, balanced hormones) utamlaumuje kwamba kaamua... Wewe si ungetumia condom au ufanye vasectomy basi kama unataka kujihakikishia hazai.Swala la kuongeza familia ni swala la kujadiliana sio we unaamua then Mumeo anageuka mpewa taarifa tu!
hawaamini kama mwaka umeisha ... ndiyo maana kila mwaka wanaadhimisha muda wowote kinaweza kunukaUtakuta vijana wanasheherekea mwaka mmoja wa ndoa....! Inasikitisha