kama sina ndoa nifanyeje?
vumilia tuu...wanamaudhi sana wake zetu..hawatumiki,hawaambiliki..wamejisahau....wao ni iPad, TV ,Simu,....baaaasi....yaani hawajali kama kuna mme au nini ingawa mume ndio kila kitu pale nyumbani....hawaeleweki kabisa!!!! inabidi tuishi nao tu kwa mapenzi tu ya mungu !!!! mi nimeshasahau kupikiwa,kufuliwa, kuwekewa maji, kuwa cared for nk..ingawa najitahidi kufanya ninayopaswa kufanya!!!