Mambo vipi watu wangu wa ukweli! Hope mko poa, kwanza nitoe shukrani kwa Best wishes za Birthday yangu, Mungu awabariki sana! Back to the topic: Ndoa nyingi zimevunjika, yaani wanawake wengi walio ktk ndoa hawapati haki zao kutoka kwa wenzi wao, unakuta anasema me miezi sita, mwingine miaka miwili, kimsingi mahusiano kati ya mume na mke hayapo kinachowaunganisha ni watoto tu kwa vile bado wanataka malezi, kinachosikitisha ni kuona mzazi moja hawajibiki anamwachia mwenzie mzigo hadi anaelemewa ndiyo mwanzo wa mwanaume suruali...n.k Na hizi ndiyo sababu kubwa za akina mama kuwa na Serengeti Boyz na akina Baba kutembea na Vibinti vidogo, ukiachana na zingine. ushauri wangu wewe uliye ktk ndoa Muombe sana Mungu ndoa yako iwe na amani, lakini tusipende walivyo navyo bali wao walivyo both men and women,