Ndoa ni ya watu wangapi?

Tumeisha ongea mara nyingi lakini kila wakati tunarudi kulekule. Labda niite watu wenye heshima zao wajaribu kuliweka sawa. Kule number wala sichukui ni mambo ya muda tu vinginevyo ingekuwa tayari.

pole sana
aisee au kuna dalili si nzuri anaziona kaka..?!!
mana mpaka anannua kiwanja na kujenga si mchezo..m!!
 
pole sana
aisee au kuna dalili si nzuri anaziona kaka..?!!
mana mpaka anannua kiwanja na kujenga si mchezo..m!!

Ni akili ya mtu tu. Atanificha mimi je mwanae naye atamficha hadi lini? Anafanya yale yanayofanywa na dada yake.
 
Ni akili ya mtu tu. Atanificha mimi je mwanae naye atamficha hadi lini? Anafanya yale yanayofanywa na dada yake.
hamna mwanawe atamwambia
hivi maana ya ndoa siku hz hatuji eeh
au mwli mmoja hatuelewagi hata kidogo
aisee siwezi kuficha kwa mwenza wangu ishu km hyo labda km hamjaoana
 
hamna mwanawe atamwambia
hivi maana ya ndoa siku hz hatuji eeh
au mwli mmoja hatuelewagi hata kidogo
aisee siwezi kuficha kwa mwenza wangu ishu km hyo labda km hamjaoana

Ni mke kabisa wa ndoa na harusi kubwa tu ukizingatia mi first born kwetu yeye wa kwanza kuolewa kwao!
 
Ni mke kabisa wa ndoa na harusi kubwa tu ukizingatia mi first born kwetu yeye wa kwanza kuolewa kwao!

pole sana piga moyo konde baba...!!!jaribu kwanza kuongea na mamkwe uone itakuaje...!!!
 

Mmmhh.....ntasema mwakani
 
Last edited by a moderator:
Thanks geniveros

ur welcome ujue naumia nikiona ndoa zinashake sana maana hata mda wa kufanya maendeleo unapungua na Mungu anapunguza baraka zake
Mungu aepusho hilo ukweli ni kwamba sisi wanawake siku hz tumebadilika sana wengi wetu na baadhi ya wanaume wamechangia.hayo...!!
 
Mkeo kashikiwa akili,shukuru mamkwe wako mnaelewana weka mambo hadharani usikie atasemaje,wife wangu wa kwanza alishikiwa akili na mama yake nikashauri nikachoka nikapiga chini na maisha yanasonga.
 
Mkuu.. Huenda hata huyo binti sio wako.. Chunguza..
 
Mkeo kashikiwa akili,shukuru mamkwe wako mnaelewana weka mambo hadharani usikie atasemaje,wife wangu wa kwanza alishikiwa akili na mama yake nikashauri nikachoka nikapiga chini na maisha yanasonga.

Mkuu ikibidi itakuwa hivyo maana lazima mambo haya yafike mwisho
 
Mkuu.. Huenda hata huyo binti sio wako.. Chunguza..

Mkuu sijafanya DNA lakini muonekano wa binti yangu ni shangazi zangu kabisa. Ndio faraja na hilo halitii shaka
 
Maana yake sasa inabidi nicheke tu. Hata form one under 18 mkubwa kabisa huyo enhe? Then unamtaka kwa kumwambia baba yake?

Mkubwa kabisa huyo mkuu maana ni spesheli kwa matumizi ya kutoa massage tu...

Kwa umri huo mikono bado mitekemiteke kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…