Ndoa ni ulimwengu mwingine

Atakuomba msamaha mdomoni lakini moyoni atalea kisasi...[emoji848][emoji2827]
Kisasi chake kikubwa Sana kwasababu unaweza kufa slow death, unaweza pata watoto wasio wako, watamla mkeo mpaka wauza dawa ya sumu ya Mende
 
Umeeleza vizuri sana.

Bila kusahau kwamba mwanamke aliyesoma lazima amedate wanaume wengi kabla ya kuolewa. Uwezo wa Mwanamke kudumu kwenye mahusiano huwa unapungua kulingana na idadi ya wanaume waliomlala.

Mwanamke huwa analinganisha mwanamme wake na wanaume waliopita. Kama kadate 10 na anaolewa na wa 11, ujue huyo wa 11 lazima alinganishwe na hao 10 atake asitake.

Wanawake wasomi inakuwa rahisi kuachika kwa sababu ukute kaanza mapenzi akiwa form 2. Secondary kadate mara 3. High school kadate 4. Chuo kadate 10. So probability ya yeye kudumu kwenye ndoa lazima iwe ndogo sana.
 
Hii mada nimeisoma halafu nikajitathmini mwenyewe najiona kabisa Sina bahati kwenye hichi kipengele Cha maisha
 
𝐒𝐄𝐗 𝐈𝐒 𝐑𝐈𝐓𝐔𝐀𝐋😳🪄💦

Every time you have sex… you are practicing Sacred Magick.

The amount of energy that is generated through sex is incredible!🔥

✨ It can be used for healing, manifesting, even awakening dormant spiritual gifts!

But if you are exchanging this sacred energy with a toxic low life narcissist…

You have attached his negative energy to your beautiful energy.

This will create lots of blockages and problems in your life.😓

This is why we say it is very important to listen to your body and intuition

It will tell you if having sex with this guy will empower you both

😫Or just DRAIN YOU.

Always enter into sex seeing it as both physical/pleasure and spiritual/ritual

⭐️THIS WILL ELEVATE YOUR SEX!⭐️

Don’t waste your precious powerful energy on low vibe bums baby 😘
 
Wanawake ni mashetani hadi kiama na ni majambazi ya hisia za wanaume.[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Tunapowavika hivi vilemba tukumbuke tuna mama zetu
KWANI Mama yako hawezi KUWA na hiyo Hali Kwa baba yako?. Unajuaje undani wao. Inawezekana baba na mama wana ugomvi kumbe baba alimfumania mama Mahali. (Watakueleza Hilo?).LAKINI mkiwa na mama Kila siku anamponda baba, na nyie WATOTO mnakariri baba mbaya! Au mda mwingine mama anamdhulumu baba Mali Kwa kutumia cheti Cha ndoa, Mama anawaaminisha nyumba amejenga yeye baba Hana chochote . Na mara nyingi WATOTO wanamwamini mama ZAIDI! Achana na mambo ya ndoa. Baadhi ya wanandoa hawaoani Kwa Nia Moja. Ndoa Ina utapeli mwingi ndani yake. Na wanaoumia ni wwnaume ZAIDI Kwa sababu hawana pa kusemea! Mkienda kwenye dawati la jinsia anayesikilizwa ZAIDI ni mwanamke!
 
Andiko/maoni Bora kuhusu mahusiano baina ya mke na Mme 2023 (Jamii forum SIHAMI)
 
Hapo kwenye wanaume ongezea hii: "Mwanaume asiyemuongelesha mkewe au kusikiliza hadithi za kimaisha anazosimuliwa na mkewe" kwa kujifanya kuwa serious na time taker. Hapo lazima mkoasane ma my wako.
 
Hapo kwenye wanaume ongezea hii: "Mwanaume asiyemuongelesha mkewe au kusikiliza hadithi za kimaisha anazosimuliwa na mkewe" kwa kujifanya kuwa serious na time taker. Hapo lazima mkoasane ma my wako.
Mwanaume asiyemuongelesha mkewe au kusikiliza hadithi za kimaisha anazosimuliwa na mkewe" kwa kujifanya kuwa serious na time taker. Hapo lazima mkoasane ma my wako.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If you expect others to make you happy, then you will always be disappointed [emoji108][emoji108]

Wanawake na wanaume wapaswa kujifunza Saikolojia ya mahusiano ya kijinsia na kuielewa.
 
Mahusiano mengi yanaharibika sababu ya ujinga wa wanawake na mapokeo.

Unadukua Simu ya mumeo unakuta sms za mchepuko Halafu unalianzisha eti unadai talaka ili mgawane mali,

Yaani unaji stress wewe mwenyewe?

Hivi kama Mwanaume amechepukia mbali si ameonesha kukuheshimu?

Kwani amekuletea nyumbani ?

Halafu mwingine hata hela hana kusema labda huko kuchepuka anapoteza hela za familia,

Sasa mwanamke unajikoseshaje furaha?

Ndiyo maana Maandiko yanaweza “ mwanamke mpumbavu huivunja Nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe [emoji108][emoji108]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…