fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
- Thread starter
- #21
ni kweli,sasa tufanyeje?Kwa Sasa Ndoa Zimekuwa Za Kuviziana.
Anguko La Jamii Kwenye Mahadili Ndio Matokeo Ya Sasa Kwa Vijana Kukataa Ndoa Na Kuzipinga Vikali.
Vijana Wanakosa Wa Kuoa/Kuolewa Sababu Hakuna Misingi Mizuri Iliyojengwa Kutoka Kwa Wazee Ambayo Itasaidia Kuokoa Na Kupambana Na Dhoruba Kali Pale Ndoa Inapopigwa.
Ndoa Inahitaji Uvumilivu Pande Zote Mbili Kujishusha Na Kutazama Mustakabali Wa Watoto Kwa Baadae.