Najiuliza sana.......maana ya ndoa ni kupata watoto?,kuna tatizo kubwa sana sasa ivi hapa kwetu , wanandoa wengi huwa wanachanganyikiwa sana wakichelewa kupata watoto.....imepelekea mpaka baadhi ya kina dada wanatokanje ya ndoa kubeba mimba na mwanaume mwingine kwa siri ili?....... ,eti kuokoa ndoa. ...Ni kweli ndoa inapendeza zaidi mkijaliwa watoto na hata mimi ningechanganyikiwa zaidi kama nisingepata watoto kwenye ndoa........ni swali najiuliza sana kwa nini tunachanganyikiwa sana kama tunachelewa au hatupati watoto baada ya kufunga ndoa. Na pia swali lingine gumu sana najiuliza je, kama ndoa ingekua ni watoto, kungekua na ulazima wa kuoa kweli? si tungezaliana tu kama mbuzi na ngo'mbe?....Najiuliza sana.

mi naona kwanza ni maelewano, ndoa ikiwa na maelewano hakika kutakuwa na upendo na mapenzi ya dhati. Suala la watoto ni majaaliwa ya allah kwani haliko ktk uwezo wetu wa kibinaadam.kuna wanandoa wameajaaliwa watoto lakini wakakosa maelewano na kuachana, vivyo hivyo wengine hawajaaliwa watoto lkn kwa kuwa maelewano yapo, wakadumu na ndoa yao. Kwa hiyo mimi naamini ndoa ni maelewano na wala ndoa sio watoto kwa kuwa hayo ni majaaliwa ya allah.
kama ndoa ni watoto basi ujue baada ya kupatikana hao watoto ndoa hakuna tena.
Ndoa ni mpango wa Mungu tangu mwanzo, na kuzaa na kuongezeka pia ni agizo la Mungu lakini mtoto ni zawadi ya Mungu katika ndoa. Kutoka na kutafuta mtoto nje ya ndoa ni kosa, si tu kisheria bali pia ni uvunjaji wa Amri za Mungu. Imeandikwa usizini.Najiuliza sana.......maana ya ndoa ni kupata watoto?,kuna tatizo kubwa sana sasa ivi hapa kwetu , wanandoa wengi huwa wanachanganyikiwa sana wakichelewa kupata watoto.....imepelekea mpaka baadhi ya kina dada wanatokanje ya ndoa kubeba mimba na mwanaume mwingine kwa siri ili?....... ,eti kuokoa ndoa. ...Ni kweli ndoa inapendeza zaidi mkijaliwa watoto na hata mimi ningechanganyikiwa zaidi kama nisingepata watoto kwenye ndoa........ni swali najiuliza sana kwa nini tunachanganyikiwa sana kama tunachelewa au hatupati watoto baada ya kufunga ndoa. Na pia swali lingine gumu sana najiuliza je, kama ndoa ingekua ni watoto, kungekua na ulazima wa kuoa kweli? si tungezaliana tu kama mbuzi na ngo'mbe?....Najiuliza sana.
mti wowote bila kuzaa matunda siyo mti..mtoto ndani ya ndoa nikiunganishi cha maagano..acheni kushabikia uongo kuna anayeoa kwa ajili ya kuangalia angel face...najiuliza tu na ndo maana siku hizi hawaingi kwenye ndoa bila kuzini kwanza na kubebeshana mimba....ebo
mbona kuna mambo mengi tu muhimu katika ndoa....? Akili Unazo! unajisikiaje kama utaachwa na mume/mke kwa sababu huzai.. think twice meen !!!