Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 143
- 212
Kusudi la nyoko.Habari za muda wadau kutokana na kampeni za kupinga ndoa ninaona kabisa nitaaribika kisaikologia hivyo ninataka nijitaidi niache kutumia jamii forum ila mnaopinga sijui nini shida maana mnatumia nguvu kubwa na hili ni tatizo kubwa nimeliona kwenye jamii haswa kwa wenye uwezo mkubwa kiuchumi ni hivi hii kampeni naomba muiache kwa ajili ya afya ya akili na ni kinyume na Mungu japo hii yote 50/50 ndio imekuja kuaribu dunia ya leo
Sawa Ndoa ni Taasisi ya Kwanza alioianzisha Mungu mwenyewe pale Eden lakini nikwambie tu kwamba siku zote Taasisi ni Chombo cha UPIGAJI tu kama FIFA na RCHabari za muda wadau kutokana na kampeni za kupinga ndoa ninaona kabisa nitaaribika kisaikologia hivyo ninataka nijitaidi niache kutumia jamii forum ila mnaopinga sijui nini shida maana mnatumia nguvu kubwa na hili ni tatizo kubwa nimeliona kwenye jamii haswa kwa wenye uwezo mkubwa kiuchumi ni hivi hii kampeni naomba muiache kwa ajili ya afya ya akili na ni kinyume na Mungu japo hii yote 50/50 ndio imekuja kuaribu dunia ya leo
Mwanaume anapata nini akiwa na ndoa ?Kinachofanya ndoa ionekane ngumu ni kuingia kwenye ndoa bila malengo
Mwanaume anapata nini akiwa na ndoa ?
Kataa ndoaUlinzi[emoji12][emoji12][emoji12]
Mungu aliweka sheria zake kuhusu ndoa sasa hazifuatwi inadaiwa ni ukandamizaji wa kijinsia!! Sasa kuna haja ya kuoa wakati mazingira ya ndoa yamekwisha haribiwa, tendo la ndoa imekuwa biashara ingawa sheria zipo wazi Prostitution ni kosa la jinai lakini hakamatwi mtu, HATUPINGI NDOA ILA MAZINGIRA YA NDOA YAMEVUNJWA HAYAPO.Habari za muda wadau kutokana na kampeni za kupinga ndoa ninaona kabisa nitaaribika kisaikologia hivyo ninataka nijitaidi niache kutumia jamii forum ila mnaopinga sijui nini shida maana mnatumia nguvu kubwa na hili ni tatizo kubwa nimeliona kwenye jamii haswa kwa wenye uwezo mkubwa kiuchumi ni hivi hii kampeni naomba muiache kwa ajili ya afya ya akili na ni kinyume na Mungu japo hii yote 50/50 ndio imekuja kuaribu dunia ya leo
Afadhali kuingia bila malengo kuliko kuingia na malengo machafuKinachofanya ndoa ionekane ngumu ni kuingia kwenye ndoa bila malengo
Haya bhanaUlinzi[emoji12][emoji12][emoji12]