Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 143
- 212
Habari za muda wadau kutokana na kampeni za kupinga ndoa ninaona kabisa nitaaribika kisaikologia hivyo ninataka nijitaidi niache kutumia jamii forum ila mnaopinga sijui nini shida maana mnatumia nguvu kubwa na hili ni tatizo kubwa nimeliona kwenye jamii haswa kwa wenye uwezo mkubwa kiuchumi ni hivi hii kampeni naomba muiache kwa ajili ya afya ya akili na ni kinyume na Mungu japo hii yote 50/50 ndio imekuja kuaribu dunia ya leo
