Mkuu sijaelewa unamaanisha niniNi bora kuoa mwanamke Malaya kuliko mchoyo/mchafu
Ni bora kuoa mwanamke Malaya kuliko mchoyo/mchafu - JamiiForums
Hapana Mkuu Nilikua tuu Katika tafakari ya fumbo hili ndoa takatifuYaani wewe chaaa...kwahiyo ulitaka sisi wenye sura za kambale na shepu za ngamia tusiolewe???
Aasubuutuuuu!!!!
Yaani wewe chaaa...kwahiyo ulitaka sisi wenye sura za kambale na shepu za ngamia tusiolewe???
Aasubuutuuuu!!!!
Wenye sura na maumbo ya kushoto wanajali sana pamoja na usikivu katika familia;hao wengine ni kwa matumizi tu pale watakapohitajika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dadaaaaaYaani wewe chaaa...kwahiyo ulitaka sisi wenye sura za kambale na shepu za ngamia tusiolewe???
Aasubuutuuuu!!!!
Kwenye ndoa ni maisha mkuu,inakuwa haina maana unakuwa na mrembo asiyekuwa na tija hasa pale utakapopata majanga au changamoto za maisha kama magonjwa n,kIsitoshe wana kiburi na kujiamini sana yaani maana wanajua kuwa watapata yoyote kwa wakati wowote. Halaf wana ule ujuaji mwingi sana.
Kuna mmoja huyo nilikuwa nae, anataka akipata mtoto aongee kingereza tu, yeye mwenyewe kazaliwa tandale hala anaongea broken.. nikoana ananipotezea muda
Well wadangaji huko town wanaolewa for show lakin hawataki kuwajibika.Kwenye ndoa ni maisha mkuu,inakuwa haina maana unakuwa na mrembo asiyekuwa na tija hasa pale utakapopata majanga au changamoto za maisha kama magonjwa n,k
Isitoshe wana kiburi na kujiamini sana yaani maana wanajua kuwa watapata yoyote kwa wakati wowote. Halaf wana ule ujuaji mwingi sana.
Kuna mmoja huyo nilikuwa nae, anataka akipata mtoto aongee kingereza tu, yeye mwenyewe kazaliwa tandale hala anaongea broken.. nikoana ananipotezea muda
Na mm yangu mwakani..woiiii๐๐๐๐๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dadaaaaa
Sis ndo tunaoolewa bhana mashapeless
Huon harus nying wadada hawaeleweki
Yaaani sisi ndio waifu matirio kabisaaa...teh teh tehNyie ndio mnakuwa na akili za ndoa. Si wale wengine kutwa kujipodoa na kujiona wazuri..lakin akili hawana, tabia mbovu.