Dr sindanochungu
Member
- Nov 7, 2016
- 59
- 38
Yaap..mwanamke ni chachu ya maendeleo..assume upo single ukiwa na 2000/= utakuwa mzembe kutafuta kwasabu una uhakika wa kula..lakini mke akiwepo lazma utapiga kaz kuongeza share...hyo ndo development..from low to high mkuu