Sika syakujobha nkamu ghwangu,Sisya sikufwana Ngisi...."Kyala nkota,setano mbungo"...
mma kokhosulo bhanya mwaki, syosa isi sijobhigwe mwi bhangili.
Yaani kidumu kilimsindikiza binti ili aende kuolewa Dar. Baada ya siku tatu tu binti kadivorce na kurudi kwa kidumu ambacho ni mwalimu mwenzie mikoani
Mm nimewahi kuja kuagwa na my X gf three days after her wedding nikapewa mambo matamu balaa....wanawake hawa nyie waacheni tu!
Hili ndilo jibu haswaMwanamke kafanya analysis kagundua mwalimu anamfikisha kunakotakiwa hapo kwa nini ndoa isivunjike
Mwanamke kafanya analysis kagundua mwalimu anamfikisha kunakotakiwa hapo kwa nini ndoa isivunjike
Nimesoma mara ya kwanza sijaelewa...ikabidi nione comment za wenzangu kwanza labda ntapata point...nimerudia tena zaidi ya mara tatu sijaelewa nisije nikapasuka kichwa bure ngoja nipite hivi....