Chamachama
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 200
- 129
- Thread starter
-
- #21
asante kwa kuelewa dea ndo hivyohivyotumeaambiwa tusihukumu tusije hukumiwa. Ila kubali usikubali ni kosa la la wazazi na jamii kwa huyo binti. Uliza wengi wenu mnavyopata stress ukitimiza miaka 25 bila kuchumbiwa.
Nimesoma mara ya kwanza sijaelewa...ikabidi nione comment za wenzangu kwanza labda ntapata point...nimerudia tena zaidi ya mara tatu sijaelewa nisije nikapasuka kichwa bure ngoja nipite hivi....
Kya mana kyamng'ania wamae........
Af we mtoa mada ni me au ke?
Acha tu hayajakukuta bibie. Wewe unampenda kidumu (ameoa) lakini wazazi wako wanakung'ang'aniza utafute kijana ufunge ndoa. Si ajabu walimtafutia akakubali kuliwa k ya siku hizo tatu kwa gharama ya 25M akasepa kwa moyo uliomdondokea. Wa kulaumiwa ni Wazazi hapoSasa ukitaka kuangalia huyu bint kwa nini alikubali ndoa wakati jamaa hampendi ,yaan ni huruma harusi ya kifahar,na imekost 25 million ,kampotezea tu muda
Nimesoma mara ya kwanza sijaelewa...ikabidi nione comment za wenzangu kwanza labda ntapata point...nimerudia tena zaidi ya mara tatu sijaelewa nisije nikapasuka kichwa bure ngoja nipite hivi....
nosuo ha ha ha ha
...mwenyewe sijaelewa ilumbu gwangu....
Sana......he he he....
mbaka singi shekewawa mae
karyemana
Sika syakujobha nkamu ghwangu,Sisya sikufwana Ngisi...."Kyala nkota,setano mbungo"...Gwe kajunjumele,bhule bhule,usibhwene inyali sya kisu iki,mma kyala atutuleeee