jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
mmmh hizo gharamaJF
Tumblr
Skype
iPhone
Samsung Galaxy
BBM
JF
Tumblr
Skype
iPhone
Samsung Galaxy
BBM
kote huko upo?
Hapana, kwingi huwa nakusikia tu.
JF
Tumblr
Skype
iPhone
Samsung Galaxy
BBM
ushawahi kupaskia whatsapp?
umesahau :
viber
tango
chaton
hanging out
Oh yeah nshapasikia lakini hata sijui pakoje. We unajua pakoje?
yaani mie sipajui hata. kweli tena sipajui. unafikiri nakudanganya?? lol
bila kusahau Badoo
Huo msisitizo wako na hicho kicheko tayari ushaonyesha unapajua. Acha fiksi Mwajuma.
na bado kuna nyingine nyingi sa ngapi kumsikiliza mume au mke wakati huku nasms mia za kujibu loh
na bado kuna nyingine nyingi sa ngapi kumsikiliza mume au mke wakati huku nasms mia za kujibu loh
Na huko ndipo michepuo inapo anziaga
ila kweli. hii mitandao ya kijamii ukiendekeza lazma mahusiano yako yatetereke.
teheeeee!!! au ww unapajua unipeleke nikaoshe oshe macho hamisi!!