Ndoa ndoa ndoa ndoa!!!

Ndoa ndoa ndoa ndoa!!!

Taured

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
805
Reaction score
696
NDOA, NDOA, NDOA;
@ Ndipo akaja Yule Malaika Awekaye Ukumbusho Katika Vitabu Sawasawa Na Matendo ya Kila Mtu ameshika Kitabu Cha mtu mmojawapo. "Bwana Kitabu Chake Ni Hiki Hapa", Alisema.
~"Jumla ya Mambo yake ni Nini, Mwisho Wake Ni Upi?", Aliulizwa.
@ Naye Akajibu, "Bwana, Hata Mwisho Alikuwa Akizini. Alimtenda Mwenzake Mambo ya Hiana. Aliachana Na Yule Uliyemwunganisha Naye, Hakumrudia".
@ Wakati Malaika Yule Akisema Hayo, Yule Mtu Akiwa Amesimama Pale Alishangaa, Akisikitika, huku Moyoni Akijiuliza;
1. "Mbona Mchungaji Alinifungisha ile Ndoa ya Pili?"
2. "Halafu Mbona Sadaka nilikuwa natoa?"
3. "Lakini Nilikuwa Mtumishi!"
4. "Mbona Hata Askofu Alikubali Nifunge Ndoa Mara Ya Pili?"
5. " Halafu, Mbona Nilikuwa Naomba, Nasoma Neno?"
@ "Haya Kifungue Hicho Kitabu Sawasawa Na Matendo Yake Mengine Yaliyosalia", Malaika Yule Akaagizwa Tena.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
ROHO AYAAMBIA MAKANISA;
@ Unaishi Na Mwanamke Mwingine,
@ Unaishi Na Mwanaume Mwingine,
¶• Yule Wa Kwanza Yuko Wapi?
¶• Amefariki?
¶• Yuko Wapi?
¶• Hukufunga Naye Ndoa?
¶• Sikuwaunganisha Mimi?
¶• Hamkuapa?
¶• Yuko Wapi Mwenzako?
¶• Sikuwaunganisha Mimi?
¶• Yuko Wapi Mwenzako?
¶• Haukuapa Kwangu Mimi?
¶• Kiapo Chako Hakipo Kwangu Mimi?
¶• Kwanini Unamtenda Mambo ya Hiana?
¶• Kwanini Uliapa?
@ Nachukia Kuachana, Je Sikuagiza Hivi Tangu Mwanzo?
@ Sikai Mimi na Wenye Machukizo, Hawataingia Rahani Mwangu.
@ Unazini, Unazini, Unazini
@ Hapana Mzinzi Kwangu.
@ Ndimi Nichunguzaye Mioyo.
@ Hapana Mzinzi Kwangu.
@ Kitabu Cha Kumbukumbu Kimeandikwa.
@ Ingekuwa Heri Usiingie Katika Ndoa; Ni Agano la Utakatifu, Kuliko Kumtenda Mwenzako Mambo ya Hiana.
@ Ni Jambo la Kutisha Kuanguka Mikononi Mwangu.
¶• Je Unawaheshimu Watu Kuliko Mimi?
¶• Agano Uliweka Kwangu Mimi sio Watu.
¶• Rudini, Geukeni.
¶• Rudini, Geukeni.
¶• Kila Mtu Kwa Mwenzake.
¶• Nimejaa Rehema na Msamaha.
¶• Rudini, Geukeni.
¶• Kila Mtu Kwa Mwenzake.
¶• Rudini na Kuanza Upya.
¶• Mimi Ndiye Niyafutaye Makosa.
¶• Ndimi Niyafutaye Makosa Yenu.
¶• Nimejaa Rehema na Msamaha.
¶• Rudini, Geukeni.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Itengeneze Njia, Yanyoshe Mapito Yako.
 
KATAA NDOA

NDOA NI UTAPELI

NDOA NI WIZI

NDOA NI BIASHARA YA UTUMWA

KATAA NDOA




KATAA NDOA

NDOA NI UTAPELI

NDOA NI WIZI

NDOA NI BIASHARA YA UTUMWA

KATAA NDOA


KATAA NDOA

NDOA NI UTAPELI

NDOA NI WIZI

NDOA NI BIASHARA YA UTUMWA

KATAA NDOA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom