Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 2,471
- 4,957
Hata kama na mimi ni mjumbe wa kamati kuu ya kataa ndoa ila kwa uoga huo huyo sio MWANAUMEMwanaume unaogopa?
Hata kama na mimi ni mjumbe wa kamati kuu ya kataa ndoa ila kwa uoga huo huyo sio MWANAUMEMwanaume unaogopa?
Naomba kujua faida za ndoa ambazo mtu akiwa hana ndoa hapatiMema ya Ndoa yapo tena mengi tu.Hatuyasemi kwa sababu hatutaki kucheka msibani badala yake tunaona ni busara kuenjoy kimya kimya
Nakuunga mkono mkuu, sijawai ona faida ya ndoa. Zaidi lazima upande mmoja uunyonye mwingineKulingana na ukatil uliokidhir kwenye ndoa na mateso ndoa nazid kuiogopa.Wanandoa wanauana hovyo kisa wivu wa mapenz.
saiv nmeamka jiran na mkewe walikuwa wanashikana mashati.kisa mesej ambayo mke ameikuta kwenye simu ya mumewe.
imenbd nikaawamue wasj wakauana nkwepo.Ila jaman haya maisha ya ndoa magumu, kila uchao sipat sifa njema ya ndoa n baya tu ili jambo lazd kunifany niogope ndoa na kuamin kuwa ndoa n utapl.
Watu wakikubali kua kuna kuachana bas ndoa haitokua ngumu… shida ni pale wanalazimisha kuendelea wakat inabidi waachane😸😸ndoa ni ngumu sana zama hizi......nadhani kuna haja ya kupeana ushauri kuhusu hili....
mimi nilikubali mapema tu....Watu wakikubali kua kuna kuachana bas ndoa haitokua ngumu… shida ni pale wanalazimisha kuendelea wakat inabidi waachane😸😸
bora usela tuh ngoma hiyo siewezJifunze kutokuogopa jambo ambalo hujalpitia maishani. Ukiambiwa haya maji ni barid sana bila kuhakikisha hutaoga. U are lucky umeona mabaya mengi kwa upande wa ndoa kumaanisha ukiamua kuingia utakua na uwepesi wa kujua nikifanya hili litaleta mgogoro baina yako na mwenzako. Wewe umeamua kujikopesha uoga na ndio utakutesa. Acha kujimilikisha uoga na unaweza kuwa mfano mzuri kwa wanandoa.
Namshukuru Mungu, saizi nina miaka 4 kwenye ndoa. Nimeoa nikiwa na miaka 25.Kulingana na ukatil uliokidhir kwenye ndoa na mateso ndoa nazid kuiogopa.Wanandoa wanauana hovyo kisa wivu wa mapenz.
saiv nmeamka jiran na mkewe walikuwa wanashikana mashati.kisa mesej ambayo mke ameikuta kwenye simu ya mumewe.
imenbd nikaawamue wasj wakauana nkwepo.Ila jaman haya maisha ya ndoa magumu, kila uchao sipat sifa njema ya ndoa n baya tu ili jambo lazd kunifany niogope ndoa na kuamin kuwa ndoa n utapl.
1. Usalama na utulivu wa kihisiaNaomba kujua faida za ndoa ambazo mtu akiwa hana ndoa hapati
Hiyo ndio Taasisi nyeti kuliko zote ndio maana inashambuliwa sanandoa ni ngumu sana zama hizi......nadhani kuna haja ya kupeana ushauri kuhusu hili....