Ndoa mpya

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Habari zenu wakuu, kwa heshima na taadhima naomba msaada wenu wa kinawazo ktk kunisaidia tatizo langu.
Mm ni kijana wa miaka 28 na ni mwajiriwa wa taasisi fulani, nimefikiria swala la kuoa lkn kabla sijalifikisha swala langu ngazi ya juu nimekuja kwenu munisaidie kimawazo ni vp naweza kupata mke mwema, muadilifu na nitamjuaje ili ikishafikia hatua ya kumchukua jumla nijue ni maamuzi yangu ndio yalionikomboa au yaliyonivabisha.
Shukrani zangu za dhati kwenu.
 
Dah,kote huko mtaani,kanisani/msikitini,kazini shuleni na vyuoni hukuona mke?
Any way mke mwema mtu hupewa na BWANA,hivyo ongeza maombi.
 
Ugumu wa suala la kuwowa uko hapa. ukipata jibu unipe na mimi mkuu.....khahahahahaaa!
 
mke mwema anatoka kwa Bwana. nimemaliza
 

Mke na mume mwema hutoka kwa MUNGU. kwa akili zetu hatuwezi.
 
Yaani wewe mpaka unataka kuoa haujui utamuoa nan dah!haya mke mwema muombe mungu akupe!
 
Yaani wewe mpaka unataka kuoa haujui utamuoa nan dah!haya mke mwema muombe mungu akupe!

Hahaha! Hatari sana ndugu. Girlfriend hana! Mchumba hana! Halafu anataka kufunga ndoa!
 
Nadhani ni macho yako tu ndio kitu cha kwanza, mwanaume ambaye anafunga macho yake hatazami wanawake wengine zaidi ya mchumba anaye taka kumuoa, lazima ataona mwanamke ambaye atakuwa mke mwema.

Macho yanayo jizua kutazama mabaya, mara nyingi sana huona mazuri.

Ujumbe ndio huo.
 
tafuta, hata huku jf mbona wapo.
wadada mnaotafuta mume huku jf,haya huyo hapo !
 
Dah,kote huko mtaani,kanisani/msikitini,kazini shuleni na vyuoni hukuona mke?
Any way mke mwema mtu hupewa na BWANA,hivyo ongeza maombi.

Huwezi jua may be mke mwema utampata Jamii forum. hapa waadilifu ni wengi

cc heaven on earth smile
 
Mke mwema hutoka kwa Mungu. Muombe sana Mungu wako kwa imani ya kweli ya dini yako naye hatasita kukuonyesha mke mwema. Huku kwenye jf tutakudanganya tu kwa mtizamo wa kibinaadamu.
 
Asante sana kwa ushauri mkuu..
 
Asanteni wote kwa ushauri, namsubiri mungu atende miujiza ktk hili maana bila yy sitafanikiwa.
 
Utapata tu.....ndoa ni maelewano lakini zingatia elimu, mila, dini, nk utafanikiwa
 

MKE MWEMA ANATOKA KWA MUNGU LKN UJUE MUME MWEMA ANATOKANA NA WALETI YAKE..... WEE OA TU LABDA UWE NA WALETI KUBWA, KAMA VIPI HAPO MTAANI KUNA JAMAA ANAWALETI KUBWA UJUE ATALIWA TUUU..:target:
 
Muombe Mungu kwa lugha ya kwenu atakusaidia kupata chaguo lililo bora.
Nalog off
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…