Mtayarishaji
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 291
- 198
safi sana " kujitia tia ma pressure " waweza jikuta wafia juu ya kiunoALipitia choo cha public akabadilisha. Think positively
Kweli kabisa.. mwanamke kama ana mpango wa kuliwa ataliwa tu. Hata ufanyeje.. so ukiyatafuta kuyajua utayajua na yatakuumiza..safi sana " kujitia tia ma pressure " waweza jikuta wafia juu ya kiuno
HeheheeeUsilitaje neno chupi kwa muda huu...fikra zinaenda mbali sana!
Usilitaje neno chupi kwa muda huu...fikra zinaenda mbali sana!
Huko sokoni alibanwa na haja...
Akavua wakati anaivaa akaivaa vizuri.
Simple as that.
Mke baada ya kumaliza kuoga akawa chumbani, mume wake alikuwa amejilaza kitandani, huku akiwa anamuangalia mkewe anavyovaa.
Mara mke akavaa chupi kwa kuigeuza bila kutambua, mumewe akaona kuwa mke aligeuza chupi ila akamkaushia.
Mke akamuaga mumewe kuwa anaenda sokoni, akaondoka.
Alipo rudi nyumbani akakuta mume bado amejilaza, alipokuwa anabadili tena nguo mume akawa anamtazama ghafla akaona chupi mke ameivaa vizuri.
Swali
Kama wewe ndio mume ungefikiri nini?
Na ikiwa mkeo aliondoka amevaa chupi akiwa ameigeuza ila alivyo rudi kutoka sokoni kaivaa vizuri utachukua hatua gani?
NB: Simulizi hii nimeitoa katika group la dini facebook.
Usilitaje neno chupi kwa muda huu...fikra zinaenda mbali sana!
WasabatoGroup la dini gani ulikotoa hayo maswali?
Usilitaje neno chupi kwa muda huu...fikra zinaenda mbali sana!