Kiziwanda chema
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 289
- 478
Inabidi tuandae muhtasari wa somo la ndoa, tuupeleke shuleni, vijana wa siku naona bado sana kuifahamu elimu ya ndoa, utandawazi unawaharibu
Ni kweli mkuu,kutokana na kukua kwa teknolojia na binadamu kuwa na uwezo wa kuona kinachofanyika katika ulimwengu wa kwanza n.k imeleteleza kubambikizana majukumu yasiyokuwa ya lazima.Inabidi tuandae muhtasari wa somo la ndoa, tuupeleke shuleni, vijana wa siku naona bado sana kuifahamu elimu ya ndoa, utandawazi unawaharibu
ha ha ha haNenda kwenye semina ya ndos kwenye hilo kanisa au msikiti unapoenda