Kusema kweli hii stori sijaielewa hata kidogo.Nina urafiki sana na mdada mmoja ambaye ameolewa, mdada huyu tunafanya naye benki moja hivi. mume wake tuna urafiki pia lakini sio kihivo kama mke wake, nadhani ni kwasababu tunafanya naye ofisi moja. Wiki iliyo pita shemeji alinikopa laki! nikaahidi kumpatia jioni, kwakuwa mke wake yupo maternity live, naye kwa bahati alinipigia simu akiniomba nimuangalizie balance kwenye account yake, nilishikwa na butwaa kuona salio la ukweli. Nikajua hapa kuna tatizo.
Nilimkopesha shemeji laki moja akaniahidi atanirudishia baada ya wiki. Sikuishia hapo, nili mpigia mkewake simu nikimuazima laki moja nimrudishie baada ya wiki, bila tatizo, akanipatia.
They are very happy family!!!!!!!
Hapo inaonyesha hakuna mawasiliano mazuri kati yao ama hawaekani wazi kwenye masuala ya uchumi,,Mi nazani mnapokua kwenye ndoa sanyingine mawasiliano na uwazi ni jambo la uhimu.
hapa kuna thread inayojitegemea......'Je, ni vizuri mwenza kujua salio la account yako?'.....tukipata jibu la swali hili.....ndipo tutajua kwa nini hali hiyo ikajitokeza.......
hujaelewa nini bana ni hv kuna jamaa ana mke ,mke anafanya kazi benki na huyu mleta mada. ni rafiki yaoKusema kweli hii stori sijaielewa hata kidogo.
Humo kwenye red ndio imenichanganya zaidi.
hujaelewa nini bana ni hv kuna jamaa ana mke ,mke anafanya kazi benki na huyu mleta mada. ni rafiki yao
mke wa huyo jamaa yupo maternity leave huyo jamaa akamuomba mleta mada amkopeshe laki.muda huo huo jamaaanaomba laki mkewe ambae yupo likizo akaomba kwa mleta mada aangaliziwesalio kwenye a/c kumbe mkwanja upo wa kutosha..mleta mada akaomba akopeshwe laki kwa mke wa huyo jamaa akapewa
wewe unaona nini hapo?
hata na wewe mama yako alimuona baba yako boyakwa hii thread wanaume wengi kwenye ndoa huwa nawaona maboya tu ...mungu nisamehe huyu ni wa tano nasikia hii issue
hapana mkuu sio wote wengi..hata huku wapo wanajifanya hawana time na mshahara wa wake zao eti kama sio uboya ni nini? unataka apeleke wapi? kama sio ataishia kukudhalilisha nazo? tafuta ushirikianohata na wewe mama yako alimuona baba yako boya
wanaishi kibinafsiHaya ni kati ya yasiyokuhusu, maana huwezi kujua makubaliano yao yakoje
Nina urafiki sana na mdada mmoja ambaye ameolewa, mdada huyu tunafanya naye benki moja hivi. mume wake tuna urafiki pia lakini sio kihivo kama mke wake, nadhani ni kwasababu tunafanya naye ofisi moja. Wiki iliyo pita shemeji alinikopa laki! nikaahidi kumpatia jioni, kwakuwa mke wake yupo maternity live, naye kwa bahati alinipigia simu akiniomba nimuangalizie balance kwenye account yake, nilishikwa na butwaa kuona salio la ukweli. Nikajua hapa kuna tatizo.
Nilimkopesha shemeji laki moja akaniahidi atanirudishia baada ya wiki. Sikuishia hapo, nili mpigia mkewake simu nikimuazima laki moja nimrudishie baada ya wiki, bila tatizo, akanipatia.
They are very happy family!!!!!!!
Haya ni kati ya yasiyokuhusu, maana huwezi kujua makubaliano yao yakoje