Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,804
Ukitazama ndoa zisizo na baraka ya watoto utaumia tu! Wazazi huanza vizuri kwa ndoa taamu! Mara wakigundua mwaka au miaka miwili hakuna mtoto utaanza kuona dalili za ukichaa. Mara nyingi huanza na baba kwa kumgombeza mama. Mara ma mmkwe, mara mawifi looo! Ndoa ina kuwa chungu.
Hiki ndicho chanzo kikubwa cha wazazi kuwa bize ktk vikundi vya maombi huko wakiona panachelewa utakuta wanahamishia ubize kwenye kusoma matangazo ya waganga wa kienyeji! Huko Kwa sangoma ndo hatari inaongezeka haswaa! Maana wengi huishia kupoteza pesa na kulishwa vitu vya ajabu kama mikia ya panya, ngozi za chura, vinyesi n.k. wengine huishia kuzaa majoka, majini na yanaishia kuwadhuru badala ya kuleta furaha ktk ndoa.
Pale Tarime nilikuta mama mmoja amekatwa mapanga na mumewe kisa habebi ujauzito na alishonwa zaidi ya nyuzi 60
USHAURI
1. Pima afya wakati wa uchumba mchanga. Usikurupuke kuoa bila kupima wakati furaha ya ndoa nyingi ni watoto. Ukiwa tayari kuoa/kuolewa na asiye sawia kiuzazi usilalamike.
2. Ni aibu baba kumlaumu mama. Wewe umepima? Kama we ndo mbovu je!!
3. Wanawake epukeni overuse ya contraceptive pills as zinasababisha sana ugumba.
4. Wanawake Epukeni pia kutoa mimba maana process ya utoaji huharibu via vya uzazi na kusababisha kansa mwenye via hivyo na kupelekea kutobeba ujauzito.
5. Mtegemee Mungu. Uvumilivu ndio msalaba katika ndoa.
6. Waganga wa jadi watamaliza kuku na resources zako. Hawana msaada kabisa katika hili.
Kila la heri