Ndoa ipo mashakani

I was just trying to make a conversation dear, it was a joke tena hapa tu. Ila yeye sijamshauri hivo, coz najua wanaolala shuka moja ni habari nyingine, mwishowe asiseme nimemtafutia bwana.
poa nimekuelewa ila kama ni ndugu yako mshauri aende kwa wazazi awaelezee maybe they will talk some sense to him...ila kwa mimi ninavyojua mtu akiwa mwanaume au mwanamke akisha anza mahusiano nje ya ndoa huyo ni ngumu sana kuacha cha msingi aondoke arudi kwao ajipange upya kumlea mwanae bila kutegemea huyo jamaa...
 
Jf ya babako hii au, sema unataka tu unachokisema kiwe ndo sahihi, ntajadili sana tu na huna lakunifanya
 
Wanawake wengi wana fail kwa kuto jitathmini kwamba wanakosea wapi.
Na wanawake wengi wanaharibu ndoa zao kwa kudhani kwamba wanajenga eti kwa kuwashtaki waume zao kwa wazazi/ndugu (wamke). Hapa wamama wanaharibu sana kwasababu hayupo mzazi/ndugu wa mke atakae mpenda shemeji/mkwe ambae anamtesea mwanae ama ndugu yake.
Mimi binafsi huwa napingana sana na watu wote wanao jadili ndoa ilhali hawajawahi kuingia kwenye ndoa.
Na huu Uzi ni moja ya mifano mingi ambayo tunaiona huku mitaani.
 
m ahaaa mkuu kwa hiyo ungemkuta bikra ungetulia au?
 
Ntakuuliza maswali afu unijibu ndo nikushauri
Cousin wako anakazi yoyote inayomuingizia kipato??
 
Jf ya babako hii au, sema unataka tu unachokisema kiwe ndo sahihi, ntajadili sana tu na huna lakunifanya
Kwanza nikueleze tu wazi kwamba huyo baba yangu unae mtaja pia ni member mkongwe humu jf.
Na pili siwezi kaliakimya ujinga ama upuuzi ambao wewe unajifanya kuumia ilkhali lidadalako jinga hilo ndio limeng'ang'ania mateso huku likijifanya kujiona limeolewa. Hapo minasema huyo cousin wako ni aina moja ya wanawake wale wapumbavu nilio wasoma kwenye Methali 14:1.
Na kwataarifa yako mwenye mtazamo mpana hapa haoni shida wala tatizo LA huyo shemeji yenu, bali zaidi umezidi kumdhalilisha cousin wako alivyo mpumbavu pamoja na machungu yenye anapitia.

Ebu ifike watu tuache kulalamika na sasa kuna mambo yanahitaji maamuzi binafsi na kuchukua hatua. Ndoa sio jela jamani....
 
Umeelewa nilichoandika mkuu au unatapika maneno mdomon alafu mm c mwanamke nimemaanisha kuwa asitafute mchepuko Bali ajibane atafute 500k aendelee na maisha yake c kuendelea na iyoo ndoa
 
Tunapoendea single parent family ndo zitatawala
 
Mhhh umefanya nimuwaze ex niliyemuacha, na alinipenda sana, kwahiyo na mimi yatanikuta haya?? Mbona balaa
 
Haoni kawaida, amekua mtu wa kulia kila siku, wameshasuluhisha ugomvi hadi kwa familia, but the man hajali, hayo ni baadhi tu ya anayopitia. Yeye anachowaza ni kutengana tuu.
Sasa badala ya kumshauli arudi kwao unataka awe kicheche?
 
eti umemshauri awe na mchepuko😡😡,,, umeona ndio busara saaana...wanawake bana.....hivi kwanini mnapenda kuambiana mambo ya ndani kabisa??...ila sishangai inaweza kuwa wewe mshauri hujaolewa bado au ni chepuko fulani hivi...but sorry najaribu kuchangia tuu.....kamwe hujui nini cha kumshauri.......labda cha kukwambia achana na ndoa ya watu...akija kwako mwambie vumilia, pambana......siku shemejio akijua wewe ndie mpagazi wake usiejua kutua mizigo mahali husika ni mbaya sanaaaaa.......
 
1. Pole nyingi zimfikie cousin.
2. Ndoa ni ya watu wawili, wa tatu (third one) ni shetani, epuka kutoa ushauri negative kesho na kesho kutwa utaonekana wewe ulikuwa mchawi wa mahusiano yao.
3. Cousin wetu achukue likizo popote amuache huyo bwana aendelee kuchepuka, pengine akili zitaweza kumrudia, kama anaamini katika maombi aingie kwenye maombi ya dhati kwa ajili ya mumewe na ndoa yake( dont get me wrong, ajiombee mwenyewe, asiende kwa wale wachungaji wahuni) , in the mean time atafute ile movie ya "war room'.
4. Namtakia heri cousin katika kuirejesha ndoa yake, it posible, she can make it possible, it beggins with her.
 
Hebu nifafanulie kiundani hayo mabadiliko uliyoyaona yalikufanya ukaishia kusema hvyo mkuu
 
Hivi mtu unapata wapi ujasiri wa kumuuliza mfano sista au padre masuala yahusuyo ndoa? Ni sawa na mwanamke kuomba ushauri ambaye hajaolewa au bado ndoa yake ni tamu. Uzoefu wangu ni kuwa ndoa ni muunganiko wa watu wawili wa jinsia moja wanaolazimisha nafsi wavumiliane na wapendane wakiwa na uhitaji fulani kwa mwenzake kama social security etc. mfano kuna ndugu yangu ambaye mume wake alitenguka kiuno hivyo dushe halisimami lakini ni huu ni mwaka wa 7 wapo wote kama mke na mume. Je, hakuna jirani anamsaidia huyo mama kisiri (less than 40 years imagine). Kuliko kuleta maumivu kwa watoto ambao uliwaleta hapa Duniani kwa raha zako, bora kupiga punyeto na ukishindwa chepuka kisiri na kiutu uzima. Ila nikiona mwenzangu unachepuka wakati unaninyima hadi nahanja nje nawe unaigawa, chamoto lazima ukipate. I wish akinamama wangekuwa wanafanya self assessment na kujaribu kutafuta na kutibu chanzo badala ya kuhangaika na matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…