mwambyetete
Senior Member
- May 17, 2018
- 131
- 203
Ni kutokana na taarifa ambazo amekuwa akipewa na mtoto wao ambapo cjui anachombiwa ni nini!!Nini kimesababisha baba mkwe wako kutaka kuja kumchukua mtoto wake na wajukuu? Tatizo lako/lake lipo wapi?
Ni kutokana na taarifa ambazo amekuwa akipewa na mtoto wao ambapo cjui anachombiwa ni nini!!
Kaka kutokana na migogoro mke wangu aliwahi fika kazin kwangu na kueleza uongo ili awe anapewa nusu mshahara, baada ya kupangua hilo na ofisi kuthibitisha kuwa sio kweli! Lakin pia nimekuwa nikitishiwa nae kwa atanikomoa hali ambayo imepwlekea nikae nae mbali lakin akiwa nyumban kwetu na huduma zote anapata lakin ammekuwa mtu wa kuendeleza ugomvi huku akilazimisha kukaa pamoja ambapo hapo cjaua anajiandaa kunikomoa kwa njia gan.Baada ya hapo nilifatilia ili nijue kaanzaje kufika kazin ndipo nilithibitisha kuwa ni maagizo ya wazaz wake ambapo wazaz wake niliingia mgogoro nao baada ya kukataa kuwanunulia viti yaani sofa kwan hawakutimiza makubalianoUnazani ni kwanini mke wako amefikia hatua ya kutoa taarifa hizo kwa wazazi wake?
Pole sana. Nitumie no yako na ya mkeo inbox niwasuluhishe...Habari za jumapili wapendwa
Hivi kunapotokea mgogoro baina ya wanandoa ambapo katika hiyo migogoro mke hapigwi wala hajatishiwa maisha,,baba mzaz wa mwanamke anaruhusiwa kwa utaratibu wa sheria ipi kunipeleka mahakaman mimi mume??
Pili baba mkwe anapomuhitaji binti yao lakin hasemi waz lengo wa kumuhitaj bint yao kama anavunja ndoa kabisa ama ana nia ya kwenda kumkanya mtoto wao wakati huo huo tuna watoto wadogo ambapo mimi kama baba wa familia sina iman na mazingira ambayo wataenda kuishi wanangu,naweza kutumia utaratibu gan wa kisheria wa ama wamchukue binti yao bila ya watoto yaani nibaki na watoto ili ataporud awakute watoto huku ninakoishi hapo izingatiwe kuna mtoto wa mwaka mmoja na miezi miwili??
Kutokana na migogoro hiyo ambapo wife amekuwa akinitishia kuwa atanikomoa kwa njia yoyote na ushahidi ninao hivo nililazimika kumuacha nyumbani kwetu na mimi kuishi mbali nae,lakin kila wiki huwa naenda kuwajulia hali na kupeleka mahitaji ,je naweza kushitakiwa kwa kosa gani hapo??
Mke wangu alitoa kauli kwamba mama yangu mzaz na yey ni kama mtu na mke mwenza,je naweza kumshitak kwa matusi hayo??
Baba mkwe amenipigia simu na kunitishia kwamba atakuja kuchukua familia yangu,,je akifanya hivo na mimi nikazuia yey kuondoka na watoto, ntakuwa na kosa lolote kisheria??
Naomba niwatakie siku njema naomba mnishaur kwa upendo,pale nilipokosea au sijaeleweka niko tayar kutoa ufafanuzi pia matus ruksa
Heeeeee umejuaje?? Mama yake n mchaga n baba ake ni muha!!Pole sana kaka umeoa mwanamke anayekucontrol, sioni mwisho mzuri wa hili jambo.
Nje ya mada, huyu mwanamke ni mchaga?
Asante saaana kwa msaada wako ila naomba nipe muda juu ya hilo ila ntakutumia ya kwanguPole sana. Nitumie no yako na ya mkeo inbox niwasuluhishe...
Kwenye ndoa kuna mengi mkuu .,huwezi kuskiliza upande mmoja na uhukumuMkuu haya mambo ya migogoro ya ndoa Ninayoyashuhudia kwa marafiki hayanipi hamu kabisa ya kuoa...but ikitokea nimeoa mke wangu akaniambia kauli Kama ulivoambiwa..." Mama yako ni mke mwenza wangu" sijui sijui kitakachotokea.............
Nimefatlia ulivyojieleza na unavyojieleza, si bure kuna kitu nyuma ya pazia!! Mungu awape Hekima katika Hili!!Kaka kutokana na migogoro mke wangu aliwahi fika kazin kwangu na kueleza uongo ili awe anapewa nusu mshahara, baada ya kupangua hilo na ofisi kuthibitisha kuwa sio kweli! Lakin pia nimekuwa nikitishiwa nae kwa atanikomoa hali ambayo imepwlekea nikae nae mbali lakin akiwa nyumban kwetu na huduma zote anapata lakin ammekuwa mtu wa kuendeleza ugomvi huku akilazimisha kukaa pamoja ambapo hapo cjaua anajiandaa kunikomoa kwa njia gan.Baada ya hapo nilifatilia ili nijue kaanzaje kufika kazin ndipo nilithibitisha kuwa ni maagizo ya wazaz wake ambapo wazaz wake niliingia mgogoro nao baada ya kukataa kuwanunulia viti yaani sofa kwan hawakutimiza makubaliano
Hata Kama, ila mke atakaemdharau mama yangu Hana sifa ya kuwa na mmKwenye ndoa kuna mengi mkuu .,huwezi kuskiliza upande mmoja na uhukumu
Inaonekana hukutoa mahari, ulimbeba binti wa watu kimyakimya tu. We kalipe pesa mzee akuone wa heshima acha kulalamikaHabari za jumapili wapendwa
Hivi kunapotokea mgogoro baina ya wanandoa ambapo katika hiyo migogoro mke hapigwi wala hajatishiwa maisha,,baba mzaz wa mwanamke anaruhusiwa kwa utaratibu wa sheria ipi kunipeleka mahakaman mimi mume??
Pili baba mkwe anapomuhitaji binti yao lakin hasemi waz lengo wa kumuhitaj bint yao kama anavunja ndoa kabisa ama ana nia ya kwenda kumkanya mtoto wao wakati huo huo tuna watoto wadogo ambapo mimi kama baba wa familia sina iman na mazingira ambayo wataenda kuishi wanangu,naweza kutumia utaratibu gan wa kisheria wa ama wamchukue binti yao bila ya watoto yaani nibaki na watoto ili ataporud awakute watoto huku ninakoishi hapo izingatiwe kuna mtoto wa mwaka mmoja na miezi miwili??
Kutokana na migogoro hiyo ambapo wife amekuwa akinitishia kuwa atanikomoa kwa njia yoyote na ushahidi ninao hivo nililazimika kumuacha nyumbani kwetu na mimi kuishi mbali nae,lakin kila wiki huwa naenda kuwajulia hali na kupeleka mahitaji ,je naweza kushitakiwa kwa kosa gani hapo??
Mke wangu alitoa kauli kwamba mama yangu mzaz na yey ni kama mtu na mke mwenza,je naweza kumshitak kwa matusi hayo??
Baba mkwe amenipigia simu na kunitishia kwamba atakuja kuchukua familia yangu,,je akifanya hivo na mimi nikazuia yey kuondoka na watoto, ntakuwa na kosa lolote kisheria??
Naomba niwatakie siku njema naomba mnishaur kwa upendo,pale nilipokosea au sijaeleweka niko tayar kutoa ufafanuzi pia matus ruksa
Pole sana kaka, kulingana na experience yangu iliyotokana kudate wanawake wa makabila hayo, wako very controlling, kujinasua katika mtego huo inahitaji hekima na busara...huyo mwanamke na baba yake+ mama yake watakutesa sana, hasa ikiwa usiyependa fujo na ubishi, utajikuta unafanya jambo ili uwaridhishe mwende sawa.Heeeeee umejuaje?? Mama yake n mchaga n baba ake ni muha!!
Mkuu hapa kama unataka kusaidiwa usifiche kitu eleza vzr watu wakusaidieKaka kutokana na migogoro mke wangu aliwahi fika kazin kwangu na kueleza uongo ili awe anapewa nusu mshahara, baada ya kupangua hilo na ofisi kuthibitisha kuwa sio kweli! Lakin pia nimekuwa nikitishiwa nae kwa atanikomoa hali ambayo imepwlekea nikae nae mbali lakin akiwa nyumban kwetu na huduma zote anapata lakin ammekuwa mtu wa kuendeleza ugomvi huku akilazimisha kukaa pamoja ambapo hapo cjaua anajiandaa kunikomoa kwa njia gan.Baada ya hapo nilifatilia ili nijue kaanzaje kufika kazin ndipo nilithibitisha kuwa ni maagizo ya wazaz wake ambapo wazaz wake niliingia mgogoro nao baada ya kukataa kuwanunulia viti yaani sofa kwan hawakutimiza makubaliano
Mmmhh!! Sasa kama ni hivyo, kupata suluhisho ni kazi!!.....kuna wazazi wa kichaga wana uhuni sana kweny izi ishu za ndoa, bora nibaki single kuliko nibebe mchaga mana nawajua fika hata kama origin yang ni hiyoHeeeeee umejuaje?? Mama yake n mchaga n baba ake ni muha!!
Mama zetu pia sio wakamilifu ila nahisi ukipata mke utanielewaHata Kama, ila mke atakaemdharau mama yangu Hana sifa ya kuwa na mm
Asante saaana ndugu yanguPole sana kaka, kulingana na experience yangu iliyotokana kudate wanawake wa makabila hayo, wako very controlling, kujinasua katika mtego huo inahitaji hekima na busara...huyo mwanamke na baba yake+ mama yake watakutesa sana, hasa ikiwa usiyependa fujo na ubishi, utajikuta unafanya jambo ili uwaridhishe mwende sawa.
kuna siku matakwa yao yatakushinda, unahitaji hekima na busara kudeal nao, vinginevyo naona ndoa itavunjika.
By the way sijui siku mwanamke ananitamkia aliyokutamkia, sijui nini kitatokea ninavyojifahamu, maana yanaudhi.
Ni kweli mkuu wazazi wengi wa kichaga wanapenda kuingilia ndoa za watoto wao, na huwapa kiburi fulani wanawake walioolewa.Mmmhh!! Sasa kama ni hivyo, kupata suluhisho ni kazi!!.....kuna wazazi wa kichaga wana uhuni sana kweny izi ishu za ndoa, bora nibaki single kuliko nibebe mchaga mana nawajua fika hata kama origin yang ni hiyo