Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Hiyo ndiyo huruma?Mifano ya huruma:
1.mke katumia fedha kinyume na ulivyomuagiza
2.mume kamlala house girl
3.Mke kachoka kwa kazi,wewe bado unataka akachote maji km 10
Hiyo ndiyo huruma?Mifano ya huruma:
1.mke katumia fedha kinyume na ulivyomuagiza
2.mume kamlala house girl
3.Mke kachoka kwa kazi,wewe bado unataka akachote maji km 10
yesHiyo ndiyo huruma?
Upendo
Hakuna kitu kama hicho, maisha ya ndoa ni waishi jinsi ulivyo jengwa wale wote wanao jifunza baadae anarudi katika uhalisia wakehuruma unaweza kujifunza kama huna,japo siamini kama kuna mtu hana huruma kabisa
Ni kwelihuruma unaweza kujifunza kama huna,japo siamini kama kuna mtu hana huruma kabisa
😍Huwezi kumhurumia usiyempenda, take this to your notebook.