Ndoa ina changamoto zisizoisha

Amuulize kitu anachokosa kwa mkewe (maana yawezekana ananyimwa au hapati share kwa 100% maana baadhi ya wanawake ni wachoyo na wazembe kitandani utadhani umelala na maiti) ili mkewe ampatie ipasavyo.
Asante kwa hili mkuu
 
Pole sana mkuu
 
Iyo niinshu ndogo inaisha yenyewe...watoto watatu namimba ?/hawa huwa hawaachani !!!.

Wapigane vibao maisha yaendelee
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] lol,umeniacha hoi,
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] lol,umeniacha hoi,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] lol!!! Hiyo ndo hali halis!!.ujue nn kuachana nako sio.dili wala nn .
 
baada ya kumuuliza kanijia juu eti bora ndoa ivunjike,
please great thinkers nisaidieni
Mapenzi ni kama glasi dada ikisha pasuka ufa hautokaa uzibike. Hapo ushachokwa tayari.

Kama una watt 3 manake matiti yako hayana mvuto tena, mbunye yako kisha ijua Kila kona, style zako ni zile zile, kwa ufupi huna jipya na mvuto kwake. Sepa Dada.

Atakukera zaidi utende dhambi ya kumtilia simu kwenye maji ama chakula bure.
 
Huu ndo ukweli mchungu!
 
Kusalitiwa kunaumiza kuliko kitu chochote. Achague kitu kimoja kati ya hivi
1.talaka
2.kumvumilia
3.kumrudia Mungu wake (awekeze muda wake katika ibada badala ya kumuwaza huyo pasua kichwa)
4.kumpuuza/kutomfatilia kabisa katika hilo
5.yeye pia achepuke
Akishindwa yote hayo,ajiandae kufa kwa presha maana wasiwasi wa mapenzi unaua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…