Ndoa Huwa Ina Stage 4

Ndoa yangu sitaki iwe na stages ..eeh Mungu nisaidie
 

hayo ni ya kweli kabisa
 

Hongera kwa hili uko mbali
Mwenzetu namwomba Mungu ndoa Yang isije kuwa na stage
 

ü Mtoa mada hayupo makini, tatizo lake anajua neno ndoa kwa Kiswahili tu, hivi aache kubunia mambo hapo
ü Kuna matrimony and Marriage. Nenda Marekani kunaa cohabitation, etc
ü Kama ni marriage hakuna hizo step anazosema hizo.
ü Kaman ni matrimony ok,
ü After matrimony unaweza kuevaluate marriage value
ü Japo angesema hivi( pre- mature, mature and post mature)
ü Hizo imagined ndoa zake huyo ni zina involve accidental marriage.
ü Planned and organized marriage hazina matatizo
 
Hongera kwa hili uko mbali
Mwenzetu namwomba Mungu ndoa Yang isije kuwa na stage

asante yaani yule jamaa kila siku mfanye mtoto tuu na kama kawa maneno yako yawe yale matatu mdomoni mwako, hakika stage hizo utazisikia kwa wenzio tuu
 

Sina uhakika sana na ulichosema hapa, ------ uzae nije nione kama kweli huyo mtoto utamtreat kama mgeni, labda hujamtoa kwenye tumbo lako dada
 
Sina uhakika sana na ulichosema hapa, ------ uzae nije nione kama kweli huyo mtoto utamtreat kama mgeni, labda hujamtoa kwenye tumbo lako dada

njoo uone mwaya tena MUngu ni wa ajabu sana kanipa watoto mapacha wa kike wawili mwezi wa sita wanatimiza mwaka ni Toccara na Dobrana, kiukweli ni wanangu tena nawapenda ila wamekuja baada ya miaka mitatu ya ndoa yangu, mume wangu nina mpa nafasi ya pili mpka ya tano maana ya kwanza ni Mungu then wengine wanafuata.
 


Kama ukweli fulani hv ,,,,,,,mm nipo stage 3
 
Wewe ni mndani; umetulia huna papara. bila shaka ni mwandishi na ni mwanafalsfa.
 

kweli ulifundika, nimependa maneno haya.
 
X after 10 years duh!
Usishangae mkubwa, na hasa kama waliachana bila kugombana na mwanamke akawa hajaenda na mwingine zaidi ya mume wake. Mahaba ya karibu anayokumbuka ni yale ya mwisho kable ya kuolewa
 
Yangu mm namba 4 ndipo ilipofika,but si wa kujiachia,najimake smart,naenda gym,nina mvuto,wanaume hamna jema,na mke akichoka tabia za mume anaona bora liende kuliko kuletewa virus kwa kumchekea,unakufa na utamu wako hahaaa,but sijachepuka,nina hofu ya mungu, shikamoo wanaume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…