Ndoa hizi!!!

Ndoa hizi!!!

Akipata ngoma anayoitafuta atatulia

Na mke wake asiye na hatia aathirike.

wanawake wanaoamini "aliyeunganisha mungu binadamu asitenganishe" nawaonea huruma sana. We Ujue tu ndo maisha yako duniani yatakavyokuwa, thawabu isubiri mbinguni.

Kwanza msingi wa talaka kwenye dini nyingi ni uzinzi.

Kuna vitu vya kuvumilia sio kupigwa na uzinzi. Hata watoto mnawa Affect. Me nakumbuka incident imetokea nina miaka Sita! Leo nikikumbuka namchukia sana baba.

Pole yake huyo dada. Me namshauri aondoke. Watoto sio shida. Watapeana zamu kushinda nao.
 
Tatizo la hawa watu ukiwashauri wajikinge tena mwanamke mwenzie atasema unamtaka bwana ake na atamwambia huyo bwana ili akukomeshe kwa kumwambia ukweli.

Nilishawahi kuwa na huruma na mtu kwamba Nilimwambia ukweli na kumshauri akadhani nataka kugombea kibamia na yeye.

Itachukua muda kwake kuona vizuri na inaweza kuwa too late.
Huyu mleta uzi ndo angekuwa kwenye nafasi ya kumuokoa huyo mwanamke.
 
Habari wakuu

Mimi nina kaka yangu(sio wadamu) .sasa huyu kaka yangu ameoa tena anasema mke wake alimfukuzia for 3 years kabla ya kukubali na kumuoa tena alimkuta bikra na anampenda sana.

Sasa tatizo la huyu jamaa ni malaya sana tena sana yaani sijaona mfano,kwake kuzini nje ya ndoa ishakua kama kawaida,anatembea mpaka na malaya na anaweza hata akakopa ela akamfata mwanamke nje ya mkoa huku ana mke,mimi hua anansikitisha sana,nishajaribu kumwambia anaishia kuniambia mimi udhaifu wangu ni wanawake.

Na hua inamcost kifedha sana plus mikosi kibao lakini hakomi na anajua hasara anayopata ila hajifunzi,maskini mke wake ni mstaarabu na mwenye dini ila yeye dah mi mpaka namuonea huruma wife wake.

Yaani mi binafsi sifurahishwi hata kidogo na natamani abadilike,je naweza nkamsaidia vp huyu kaka?
Hii ID yako ni shida
 
Tatizo la hawa watu ukiwashauri wajikinge tena mwanamke mwenzie atasema unamtaka bwana ake na atamwambia huyo bwana ili akukomeshe kwa kumwambia ukweli.

Nilishawahi kuwa na huruma na mtu kwamba Nilimwambia ukweli na kumshauri akadhani nataka kugombea kibamia na yeye.

Itachukua muda kwake kuona vizuri na inaweza kuwa too late.
Huyu mleta uzi ndo angekuwa kwenye nafasi ya kumuokoa huyo mwanamke.

Kweli...... Hata kuwashauri unaogopa....
@Cereal Killer ungemsaidia mama watu.... Huyo baba habadiliki leo wala kesho....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom