Ndoa hizi zitatuua Jamani!

Siwezi kutoka nae kwasababu ninakuwa sinaamani. Kwasababu hataki uangalie mwanamke yeyote.
.
Nawewe ningumu kuacha kuangalia neema za dunia hii?
Kifupi mwanamke mwenye wivu uliopitiliza hao huenda kuishia kua single mother.
Kuna namna isivyo wezekana kuyaepuka mazingira labda uwe uko juu kiroho.
 
Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi .

Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi hapa kafanya kituko nimetoka mapema asubuhi kumbe huku nyuma kafanya vurugu kwa majirani yupo mama mmoja ni msimbe sasa mke wangu anahofia kuwa natembea nae .

Kiukweli huyu mama hata sijawahi kumtongoza ila mke wangu anamuhofia bure.Hili jambo linanipakero sana.

Mungu kajaria tumejenga sasa kila siku ananitisha kwamba tutauza nyumba tugawane.
Vurugu ikizidi sana hii ndoa itakuja kufa bora kuanza upya kuliko kuishi bila amani.

Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha wakuu.
Akipiga kelele kamata mchape nao 🍆atatulia
 
hapa hautapata majibu unayotaka
 
Mtafutie kazi awe busy na kutafuta hela tuone kama atapata muda wa kugombana na majirani. Solution ndogo unatusumbua wazee wa kushauri
 
Pole sana. Ndoa imekuwa jehanamu kwa wengi, ila na wewe tayari umekubaliana na hali, mkeo kashakusoma madhaifu yako na kubadilisha hio kitu inahitaji wewe mwenyewe ubadilike ndo na yeye afuate. Sijui nini chanzo ila kama unataka amani inabidi uianzishe wewe, only you can change it, jifanye mjinga kW muda, usimkaripie wala kumjibu huo ndo uanamme sio kukimbia na kulialia. Kutafta mwanamke mwingine utazingua, kama mmedumu toka 2008 means mnajuana vizuri, work it through bro.
Duuu utadhani wewe ni mimi kabisa .nami ni copyright na wewe
 
Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi .

Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi hapa kafanya kituko nimetoka mapema asubuhi kumbe huku nyuma kafanya vurugu kwa majirani yupo mama mmoja ni msimbe sasa mke wangu anahofia kuwa natembea nae .

Kiukweli huyu mama hata sijawahi kumtongoza ila mke wangu anamuhofia bure.Hili jambo linanipakero sana.

Mungu kajaria tumejenga sasa kila siku ananitisha kwamba tutauza nyumba tugawane.
Vurugu ikizidi sana hii ndoa itakuja kufa bora kuanza upya kuliko kuishi bila amani.

Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha wakuu.
Ukirudi home uzoee kupitia mlango wa nyuma ili asiendelee kukusumbua!
 
Dah.....kikawaida kwenye ndoa....miaka 10 ya kwanza mume anaongea mke anamsikiliza.....miaka 10 ya pili wote wanaongea na hawasikilizani.....miaka 10 inayofuata mke anaongea na mume anamuogopa... Hongera mkuu kwa kutimiza miaka 20 ya ndoa ....dah
 
Nachepuka ila sio sana, umeniacha njia panda, akisoma huu uzi nae atachepuka ila sio sana ili ngoma iwe draw. Tafakari kwa makini ili ujue chanzo cha tatizo ni nini! Imeandikwa ishi nao kwa kutumia akili. Labda nikuulize kaswali "wakati wa uchumba hukugundua hizo tabia?"
 
Pole sana kaka, unamlomba vizuri kweli? Ukiwa unampiga miti papuchi inatoa harufu ya mishkaki inayoungua? Kama sivyo basi jitathimini

Again fanya hivi, tafuta milioni 3 na nusu, tafuta kijana baro baro amtongoze na awe anamuhonga hizo hela utakazompatia jamaa kama nyenzo mama ya kazi, matokeo yake ni wazi kabisa Jamaa atamlomba mkeo na atakupa ushahidi, ukishapata huo ushahidi tumia hiyo njia kuachana na mkeo, baada ya hapo usioe tafuta kabinti kazuri uwe unakapiga paipu tuu, naweza kukusaidia kukulombea mke wako ili utufumanie upate kigezo cha kumuacha, pole sana ndugu mlipa kodi
Washauri wa ndoa 😂😂😂😂
 
Bro nataka nikupe mwongozo bila kukuficha , ni hivi ke wa aina hyo siri ni moja tu.
Nenda gym, ukitoka kazi tamthilia achana nazo moja kwa moja kainue chuma, kula vizuri kabisa ,maji kwa wingi nimekupa miezi mitatu miraba ikaze vizuri . Muda huo ww poa tu kwa nyumba , usiwe msema mengi akija juu tulia tu .
Misuli ikishakaza mpaka kundule mechi fyeka, tena fyeka kweli , usijali majirani wanasikia au kitanda kitavunjika piga tu , isiwe kesi watoto wapeleke vacation kwa babu zao washinde kule .
Mke wa namna hii ukiimpa shughuli bila huruma , ata akimbie ni juu unaremjesha kitandani fimbo tu .
Ata kimya maisha yake yote , chenga zake huisha kabisa .
Miezi minne ijayo nipe mrejesho . Isipokwenda nnavyokwambia niite mbwa , npo hapa nyuma ya KFC mbezi , njoo gonga geti niite Mchopa ww ni mbwa. Nawasilisha.
 
Asante mkuu kwa ushauri
 
Back
Top Bottom