Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi .

Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi hapa kafanya kituko nimetoka mapema asubuhi kumbe huku nyuma kafanya vurugu kwa majirani yupo mama mmoja ni msimbe sasa mke wangu anahofia kuwa natembea nae .
Kiukweli huyu mama hata sijawahi kumtongoza ila mke wangu anamuhofia bure.Hili jambo linanipakero sana.
Mungu kajaria tumejenga sasa kila siku ananitisha kwamba tutauza nyumba tugawane.
Vurugu ikizidi sana hii ndoa itakuja kufa bora kuanza upya kuliko kuishi bila amani.
Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha wakuu.
Nimedhamiria kumsaidia huyu🤣Washauri wa ndoa 😂😂😂😂
Inaonekana huyo Mke humkazi sawasawa;
Iwapo Mke hakazwi sawasawa anakuwa ni mtu mwenye hasira mara kwa mara.
Hakikisha unamkaza na unamfikisha Kibo 🙌
Tenga muda wa kuwa naye.
Kuna wakati Mke anahitaji muda wako japo akusimulie mambo yake ya Mchana kutwa......
Mtafutie shughuli za kumfanya busy..........mfungulie kibanda awe anauza hata Mchele na maharage
Hakikisha weekend unamtoa out mkale hata Mihogo ya Coco beach pamoja
Usisahau kumkaza ili kumuondolea sumu mwilini Mwake
Hahaha......kwamba wanatumia madildo ya mbao 😅🙌Mzee wangu hawa wanawake wa siku hizi hawakaziki maana wanaishi na ma Madude ya mbao chini ya vitanda anakuvizia usiku umelala yeye anajimaliza nalo mpaka anafika kibo,
Dunia inapitia kipindi kigumu hakijawahi tokea.
mle tiGo huyo.Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi .
Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi hapa kafanya kituko nimetoka mapema asubuhi kumbe huku nyuma kafanya vurugu kwa majirani yupo mama mmoja ni msimbe sasa mke wangu anahofia kuwa natembea nae .
Kiukweli huyu mama hata sijawahi kumtongoza ila mke wangu anamuhofia bure.Hili jambo linanipakero sana.
Mungu kajaria tumejenga sasa kila siku ananitisha kwamba tutauza nyumba tugawane.
Vurugu ikizidi sana hii ndoa itakuja kufa bora kuanza upya kuliko kuishi bila amani.
Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha wakuu.
Umempa ushauri mzuri sanaa. Na bora yeye mke alihisi anatoka na jirani mi wife alihisi nimekula mdogo wake na akamtimua nyumbani wakati dogo sijawahi hata kumtamani tu.Pole sana. Ndoa imekuwa jehanamu kwa wengi, ila na wewe tayari umekubaliana na hali, mkeo kashakusoma madhaifu yako na kubadilisha hio kitu inahitaji wewe mwenyewe ubadilike ndo na yeye afuate. Sijui nini chanzo ila kama unataka amani inabidi uianzishe wewe, only you can change it, jifanye mjinga kW muda, usimkaripie wala kumjibu huo ndo uanamme sio kukimbia na kulialia. Kutafta mwanamke mwingine utazingua, kama mmedumu toka 2008 means mnajuana vizuri, work it through bro.
hiyo siyo ndoa ni ndoanoNdoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi .
Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi hapa kafanya kituko nimetoka mapema asubuhi kumbe huku nyuma kafanya vurugu kwa majirani yupo mama mmoja ni msimbe sasa mke wangu anahofia kuwa natembea nae .
Kiukweli huyu mama hata sijawahi kumtongoza ila mke wangu anamuhofia bure.Hili jambo linanipakero sana.
Mungu kajaria tumejenga sasa kila siku ananitisha kwamba tutauza nyumba tugawane.
Vurugu ikizidi sana hii ndoa itakuja kufa bora kuanza upya kuliko kuishi bila amani.
Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha wakuu.
Hayumo humu japo mtandao huu anaujuaHiyo sentensi kuwa sichepuki sana ina utata, akiiona atazidisha vurugu, atasema "kumbe unachepuka".
Ndoa hizi zitatuua.
Jamani ipo hivi. Mimi ni mume mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi.
Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi hapa kafanya kituko nimetoka mapema asubuhi kumbe huku nyuma kafanya vurugu kwa majirani yupo mama mmoja ni msimbe sasa mke wangu anahofia kuwa natembea nae.
Kiukweli huyu mama hata sijawahi kumtongoza ila mke wangu anamuhofia bure.Hili jambo linanipakero sana.
Mungu kajaria tumejenga sasa kila siku ananitisha kwamba tutauza nyumba tugawane.
Vurugu ikizidi sana hii ndoa itakuja kufa bora kuanza upya kuliko kuishi bila amani.
Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha