Binamu yako aliolewa akiyajua yote hayo...mnajipaga moyo atabadilika.
Mwambie aanze kujipanga kuishi mwnyw hapo ndoa hamna.
wapo wanaokesha makanisan wanasaka ndoa wengine wapo ndoani wanajuta kwann waliolewa basi tabu tupo
back to point
kuna binam yangu yeye hali ni tete kwenye ndoa yake ndoa yake inamiaka 2 anamtoto 1. huyo binam yangu hana kaz anabiashara ndogondogo tu mumewe ni doct. jamaa anaishi kubabe sana mwanamke hana sauti jamaa anaweza amwambie kesho nasafir akiuliza unaenda wapi we jua nasafir, kipato cha mme hakijui wala matumiz anachojua kala kashiba basi mme alishazaa nje kabla hajamuoa anaongea na mzazi mwenzie mpaka saa 7 uck hatakiwi kuuliza anaambiwa hayakuhusu kwan huli ukashiba? inshort hana aman kabisaa jamaa jeur vibaya mno.... anaweza arudi saa 6 uck akumuuliza anamjibu mi sio mtoto.
ndoa hizi zisikieni tu
Ulivoongea kwa hisia??..........
Mmmh tusio na ndoa tujipange haswaa kuingia humo ndani
na inawezekana alishauliwa kabla akaona watu wana waivu.Binamu yako aliolewa akiyajua yote hayo...mnajipaga moyo atabadilika.