Ndugu yako ni mnafiki, kama anaomba ushauri kwa ndugu na jamaa huko sio kumdhalilisha kama lengo ni kuficha aibu za huyu punga anayekaa naye? Na anapotaka taratibu zifuatwe haoni sasa ndio atazidi kumdhalilisha maana itabidi kuhusisha, kanisa, wazee na pengine mahakama?