Ndoa haitaki usanii

Ndoa haitaki usanii

Eti nasikia wana ndoa wengi wanabemendewa wake zao vip kuhusu wewe maana kama unaishi nyumba ya kupanga ndio usisemee nii hatariiiii
 
Wengi miaka hii wanaingia kwenye ndoa kwa kufuata mkumbo, kijana akiona mwenzie kaoa nae mwezi unaofata anataka nae avute jiko.
Sisemi kwamba vijana wasioe la hasha, bali wajielewe wanaingia kwenye ndoa kufata nini na wawe tayari kukabiliana na changamoto zake.
 
Bujibuji umekumbwa na masahibu gani tena kwenye ndoa mpaka ukaja na ushauri huu mzuri..?
 
Last edited by a moderator:
wewe Bujibuji jamani usijempa mume wangu presha na kisukari buree!!!

Wife huyu Bujibuji ameshatendwa sasa anataka wa kudondoka nae.. Mie ninamuangalia tu..

sosoliso nae akifa ataacha mitoto ya kumwaga, wajane lukuki, yaani wee jiandae tu na kupigwa na butwaa.

Weee shindwa kabisa.. Kani mie ni yule bonge aliededi juzi..? Yule ndo ameacha mitoto ya kumwaga na wajane lukuki..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom