Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
Ndo kwanza mna wiki 8 unaanza kumuuliza maswali kibao,ooh utanioa lini,lini unakuja kumuona mama..Mamako mwenyewe alisubiri Posa miaka 6 kutoka kwa babako,tena kwa heshima zote kwa kuvaa sketi za vitenge na kaniki ndefu hadi chini,we unaulizia ndoa kutwa unavaa vibwaya na sketi fupi huku umebetua nyonyo nje muda wote kama unanyonyesha makuruta wa JKT halafu unataka ndoa..Haraka za nini kama unadoea Pilau ya Hitima kwa jirani,Tulia,Ndoa haiombwi na haiji ghafla kama Kifafa cha Mimba,Mwanaume ukimsuuza roho yake ataomba mwenyewe kuja kwa wazazi..Invest kugusa moyo wake na sio kuomba pete kama unaagiza wali kwa mamantilie!-kwa hisani ya watu wa rufiji.