mkuu Mgirik me nilileta hapa jukwaa huru kupata maoni ya wadau bila upande mwingine kujua nilichofanya. Hapa hakuna mtu ananijua. Nnachopinga mimi ni kwenda kusuluhisha tatizo la ndoa kwa watu wengine. Yaani mke anatoa maelezo,kadhalika mume kisha mnashauriwa.Hahahaaaa! magode hivi unaikumbuka ile maada ya wife wako na yule jamaa aliyerusha salio kwa wife wako kupitia kituo chako cha kurusha pesa?
Kama hayo hayana maana ni nn kilikuleta hapa kutaka ushauri?
Hahaaaa! Lakn ngoja nisiongee kuna kauli zinasema fuata maneno yangu usifuate matendo yangu.
Na haingii akilini,watu mmetongozana wawili mpaka mkaelewana,mkapanga ndoa mkawajulisha watu kuwa mtafunga ndoa. Iweje mshindwe kukabili changamoto na kuzitatua??Shida za wanandoa zinatatuliwa na wanandoa wenyewe, tena chumbani. Tatizo likishatoka chumbani na kwenda sebuleni, ni mwanzo wa kulitoa nje ya nyumba. Huwezi kujua unayemuomba ushauri ana nia gani na ndoa yenu.
Bahati mbaya wengi wetu tumekosa vifua vya kumaliza shida zetu wenyewe.
Nakuunga mkono mtoa mada...
Hayajakukutamkuu Mgirik me nilileta hapa jukwaa huru kupata maoni ya wadau bila upande mwingine kujua nilichofanya. Hapa hakuna mtu ananijua. Nnachopinga mimi ni kwenda kusuluhisha tatizo la ndoa kwa watu wengine. Yaani mke anatoa maelezo,kadhalika mume kisha mnashauriwa.
Mkuu Ukwaju wanandoa kupelekana bakwata,mahakamani,kwa kasisi ama popote pale hakuhalalishi kuwa ni muhimu kufanya hivyo. Ndo maana tunajaribu kuleta mada km hizi kuwajengea uwezo hao wenye fikra hizo. Mkuu matatizo ya ndoa yanamalizwa na wanandoa wenyewe. Huo mwingine ni upotovu tu.Hayajakukuta
Wanandoa wanafika hadi BAKWATA
wanandoa wanapelekana Mahakamani
wanapelekana kwa Mjumbe wa Serikali ya mtaa
hujaona Dume zima linalia limegongewa na linabebeshwa mtoto si wake kwa ajili ya kukaa kimya eti SIRI YA NDOA
Waache Member waje tuwape faraja na kuwapanua akili kwani hili jambo halikuanza leo hata vitabu vya dahari vimemtaja Daud babayake na Suleimani alivyoomba ushauri na bado aliadhibiwa mbele za watu huku akiona mwenyewe wake zake ................